No. Mi sina tatizo kabisa mtu anapodhani ananitukana hanitukani. Huwa napenda tu kujua wazazi wa mtu walikosea au patia wapi. Then nasema anhaaaah... Kumbe huyu kaharibikiwa kwa upande huu. Sisi kwetu hatukuwa hata tuna fahamu maana ya hilo neno. Ndo imebidi niulize kwa mtu maana yake nini. Akanielezea. Nikasema "ooooh ndo mazingira yaliyomkuza huyu dogo." Maana kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake.
Sisi kwetu kuna terms tunatumia. Ubarikiwe, very good, shukrani, samahani, usifanye kitu cha kijinga etc(maana ni werevu) hilo ndo neno kubwa kumuonya mtu.
So mimi huwa sikasirishwi kabisa najifunza tu madogo wa siku hizi wamelelewaje? Mitaa gani, waZazi wao walikuwa watu wa namna gani? Wana stress kiasi gani? Umaskini umewaathiri vipi bongo na akili zao? Wana makasiriko kiasi gani? Athari za ugumu wa maisha? Ndo najifunza kwao.