Kaugali na maziwa ya mgando kwa wanawake

Kaugali na maziwa ya mgando kwa wanawake

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Hello wafora!

Jamani naomba kuuliza kuna wanawake ukikutana nao kimapenzi ukiingiza tu fimbo ikirudi ni ugali au maziwa meupe ya mgando ndo unarudi nayo. Sasa wapendwa inasababishwa na kutofanya usafi au ni asili ya wanawake wa aina hii? Je ina uhusianao na MP za kila mwezi? Tiba yake ni nini?

Asanteni kwa mchango wa maoni!
 
sio fungus ni kushindwa kujisafi vizuri
 
Maty, Heaven on earth, Munkari, life is Short na mimisa mna uhakika na mnachokisema kweli?
Nadhani mtakuwa mmechanganya serious. Nahisi Lamchina utakuwa umekuwa misled. Nijuavyo mimi (correct me if am wrong) mwanamke yeyote akiwa amekwisha andaliwa vizuri tayari kwa ajili ya tendo la ndoa, kuna lubrication inaachiliwa ukeni. Lubrication hii inakuwa na rangi nyeupe kwa mbali mwanzo mwanzo kwa sababu inakuwa concentrated. Nadhani hili ndo jibu sahihi kwa nijuavyo mimi unless MziziMkavu ana la kuongezea na wadau wengine.
wapi Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:
Huyo lazima atakuwa amekulia jangwani kusiko na maji, hivyo basi mbunye huiosha kwa utomvu wa cactus
6272841-cactus.jpg
 
Back
Top Bottom