Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Hello wafora!
Jamani naomba kuuliza kuna wanawake ukikutana nao kimapenzi ukiingiza tu fimbo ikirudi ni ugali au maziwa meupe ya mgando ndo unarudi nayo. Sasa wapendwa inasababishwa na kutofanya usafi au ni asili ya wanawake wa aina hii? Je ina uhusianao na MP za kila mwezi? Tiba yake ni nini?
Asanteni kwa mchango wa maoni!