Kauli 10 zenye changamoto kwa Tanzania

by default

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
839
Reaction score
215
Top 10 ya kauli zenye changamoto.
1. Hata nyasi mtakula, ndege ya rais lazma inunuliwe- Mramba
2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora - JK
3. Acheni wivu wa kike - Msekwa
4. Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi - Magufuli
5. Baada ya ku2mia helikopta ya Jeshi kwenda nayo Urambo mlitaka nipande PUNDA - Kapuya
6. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa ku2mia makalio - Masabuli
7. Ukitaka kula lazma uliwe - JK
8. Mnauliza mvua kwani me waziri wa mvua? - Wasira
9. Kila mwananchi atabeba msalaba wake - Mkulo
10. Wanafunzi kupata mimba ni viherehere vyao- JK #tafakari, chukua hatua#
 
Nyongeza mupya-ukimwi ni ugonjwa wa kujitakia JK Arusha 2012 uzinduzi wa jiji
 

Prezidaa mkareee!! Garbage in garbage out!!!!
 
Sasa hivi naona kauli za hovyo zimepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…