Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mengi mmeyasahau....malizeni kuorodhesha yote....then tuwakumbushe.....
@EMT lolest.
Mwanaume mzima unasikiliza maneno ya kiwifi wifi?
Hapo una la kujibu? unajibu vipi? au wamuangalia tu?
......kama ni wa kunioa atanioa tu hata kama sina kizygote
Inategemea na mwanaume mwenyewe kama anatafuta shari
Maana unawezajibiwa:
Nashangaa kauli zote zitolewazo ni za shari. hivi ni kweli tuko washari kila saa? siamini.
Mmmhhh asante ..usiseme tena neno jingine mpaka giza liingie hahahahahah lol m..
Sio siku zote. Mie nakupa mifano hai ya hapa hapa JF. Afrodenzi aliambiwa macho yake yanavutia akajibu
Vicheko kibao
Good. topic closed for we both agree. if you know how to break one's heart gently I need ur help in my thread.