Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

mwanaume gani wewe hata ukivaa suruali huonekani yani utadhani tambara la deki limetundikwa kwenye mlingoti
 

Kaka umetembea!
 
nadhani sasa ni muda muafaka wa wanawake wanaopenda kusema maneno uliyoyataja wabadili (kumbuka kwamba lazima waseme).

Misemo mipya

1. Nimekubali kuwa mpenzi wako, nakupenda kuliko ninavyojipenda mwenyewe

2. Tupendane

3. Una account bank ngapi, aina gani za account na zina kiasi gani, Kama unanipenda kweli nipe bank card yako na password, Ningefurahi kama tukiwa na shared account

4. Ukinichumbia usinipe pete bali hati ya kiwanja au nyumba kwa jina langu.

5. Nkupenda naomba unijengee nyumba.

6. Nataka kwenda vacation kila mwaka.

7. Nikiwa mjamzito itabidi uninunulie gari.

8. Nikijifungua kama mtoto atakuwa mlizi usiku tutapeana zamu kulala.

9. Inabidi uwahi kurudi nyumbani umsaidie mtoto homework na bedtime stories

n.k
 
mi binafsi naamin wanawake wengi wa aina hii hawajiamini..wanaona wakisemamaneno yao hayo,mojamoja wanaamin watakuwa wamempatia mwanaume,lkn kiukwel mwanaume hata ufanye kila jambo kw uwezo wako wote na kutimiza kila ki2 kw mwanamke still mkikolofshana tu,lazima maneno kam hayo wadau waliosema watatamka,coz wanainferiality kwenye mioyo yao.
 
ndugu yangu una wazimu? mshukuru Mungu hujayapata, OMBA UYAPATE halafu uhesabu gharama,energy na muda uliopoteza, (in this case) ukiwa stressfree, WEWE NI JIWE
 
Mwanaume: Baby mbona umetulia tu jamani? hata ushirikiano sipati? Au hufurahii!
Mwanamke: Babu wee, hebu maliza haraka bwana, mwenzio nawaza hela ya mchezo kesho ntaipataje! (upatu)
 
nyingine.......Boyfriend wangu wa zamani alikuwa anani do....mpaka unajisikia hasa......na chest yake ilikuwa nzuri

heeee huyo mwanamke atakaeweza sema hivi basi ana ujasiri si kidogo...hahahahaha
 

ha ha ha ha ha aisee umegonga mule muleeeeee...
 
1.bby uko api nina ny... zako hapa
2.ukwap?
3.mbona nasikia sauti za wanawake/mwangwi
 
Ushanifanya shamba la bibi.................... Hapo umekopa kupita kiasi.. Frequence nyingi bila pesa
 
inabidi uongeze ujuzi.......ujue hapo anataka......GO.
 
[h=6]
1. Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.
2. Wewe unataka kunichezea tu. Hauna malengo na mimi
3. Ni kipi hasa kinachokufanya uniringie?
4. Nataka unipe pesa leo, lazima nisolve hii problem leo siwezi kusubiri kesho.
5. Wakati ulipokuwa hauko na mimi ulikuwa ukimmega nani?
6. Katika Wanaume na wewe Mwanamme? Una nini hasa cha kunishtua?
7. Mwanaume mzima unabeep, mi ntafanyaje sasa?
8.……………………………………………… Endele
za List
[/h]
 
mtu mwenyewe mwanaume surual.....unaning'ang'ania mi mamako....unahela wewe?......waachie wenzio wanaojua kutunza...mengine ntaendelea baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…