Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika.

“Even the worst rulers always find men who will praise them.”
(Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.)

Au katika Kilatini kama alivyoandika Tacitus ilikesema “Etiam pessimos principes laudatores habent.”

Kauli hii inaonyesha kuwa hata watawala dhalimu au wabaya bado hupata watu — mara nyingi kwa sababu ya unafiki, hofu, au tamaa ya maslahi binafsi — ambao watawapongeza au kuwapigia debe, hata kama sera au vitendo vyao ni vya kinyume na haki.

Mwanafalsafa mwingine wa Kirumi, Seneca, naye alisema:

“Success makes tyrants tolerable.”
(Mafanikio huwafanya madikteta kuvumilika.)

Hii ina maana kuwa hata upumbavu au uovu wa watawala unaweza kupuuzwa na watu (wakiwemo wapumbavu) pale tu wanapopata faida au hofu ya kupoteza wanachokipata.

IMG_1756.jpeg
 
Quotes zote za wanafalsafa zimebeba kitu mkuu....
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom