CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Mara kadhaa nimewasikia wapinzani wakidai "bila polisi au dola CCM wepesiii tungewapiga mapemaa"!!!
Chama chenye kujitambua hushika na kuitumia dola kwa manufaa yake na ya taifa. Sio Jambo Baya ni sifa!
Hivi uchaguzi unashiriki ili ushike nini kama sio dola? Na ushike dola ili iweje kama sio kuitumia? Ni sawa umchokoze mwenye bastola akuvunje mguu uanze "bila bastola ningemuua" Udai aweke bastola chini mpigane
Ndugu zangu wapinzani hata Oktoba ni kinyang'anyiro cha kushika dola! Mengine ni matokeo ya kuishika hiyo dola. Usiposhika dola utatekelezaje mipango ya chama chako? Utasimamieje Sheria?
Hata nyie huu ukweli uliwaingia ndio maana mkajaribu kuunda "kadola" kenu kupitia red brigade na blue guards ila mkakuta mwenye dola kawazidi!
Mkitaka kushika dola acheni comedy. Hangaikeni ili wapiga kura wawape dola. Na hakika hata nyie mkiishika mtaitumia!
Kamwe hamtaweza kushika dola kama kazi ni kupinga, kwenda kushitaki na kutukana nje, kutokujiimarisha kitaasisi, kuzuia nchi isipate misaada, kutetea wanafunzi wapate mimba, n.k. Kwa staili hii wenzenu watashika dola milele. Na Bora iwe hivyo maana kuna kila ishara mkishika dola mnaweza kuangamiza Taifa.
Hamtuonyeshi ni kwa nini tuwape dola?
JITAFAKARINI SANA