Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

Huyu mkuu wetu hata huwa simuelewi, elewi. Mbona mapadri na maskofu wa Kanisa Katoliki wengi hawana unafiki? Kwa kweli ananikwaza sana huyu baba askofu wangu.
 
Daaah hii ni sehemu pekee inayohamasisha matumizi ya akili na sio mihemko!!!
 
Ushapungua sana
Kwa mwaka jana ilikua 10mil
Mwaka huu 3/4 mil
Hawa viongoz wa din buana..mung anawaona
Jamanii na Mimi nitembelewe basi. Huenda nikayaona ni nafuu.
Ira wasije nitemberea ware wanaao vaa nguo za mabaka baka au waree wanao vaa miwani mieusi
 
Mi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Huyu Barafu anajua mambo mengi sana walau yana fact pia. Hata mimi huwa ananiwazisha sana ubobezi wake wa taarifa. Nadhani ni mtu mwenye muda mwingi sana wa kusoma pia kuwa na link ya watu wanaoaminika ktk kutoa taarifa.
 
Mi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Ndo uone raha ya kusoma seninari !! Sio unasoma kidato cha nne bado unaagizwa junatatu uje na jembe
 
Viongozi wa dini mnatafuta kubezwa kudharauliwa na kuchukiwa na waumini wenu pale mnapotoa kauli zenu kwenye Mimbari kauli ambazo siyo za kisayansi kama hizi. Nawasihi kama huna hoja yenye uthibitisho wa kisayansi piga tu thiologia yako.Waumini wa leo wamesoma wanajua kudadavua hoja.
 
Ni wale wale tu...wananchi waumini shauri yao....!
 
Pengo amekosa tofauti kabisa na yule sheikh mkuu wa Dsm, yule ambaye huwa mtetezi wa serikali kwa waislamu hata kwa ujingaujinga kabisa iutendao serikali!!
 
Mkuu Barafu, kuna kitu mhashamu Polycarp Pengo anakifanya nacho ni kuweka mjadala.

Moja ya sifa za mhashamu Pengo ni kwamba yeye ni mwanachama wa kitu kinaitwa kwa kiingereza "interreligious dialogue".

Yaani anaweza kuongea kitu mahali fulani kwa minajili ya kuanzisha mjadala baina ya jamii mbalimbali na yeye kubakia akifuatilia matokeo.

Hii ni sifa kuu kabisa ya matunda ya wanafunzi wa Vatican.
 
Hakika hili uliloongea,inaweza kuwa sehemu ya "hypothesis" ya aina ya kauli hizi za Mwadhama
 

Acha porojo, toa mifano ya mikutano iliyohamishiwa kurasini kama una uhakika. Kuvuka malengo ya makusanyo inatokana na waumini kujitolea maana hata mimi naenda kanisani, wanaposoma kwa mfano mavuno ya mwaka 2016 wanalinganisha na 2015 ambapo unaweza hali ya baadhi ya jumuia kupanda na nyingine kushuka overall kijimbo ndiyo hayo mazidi. Usijaribia kuongea bila data.
 
Hakika hili uliloongea,inaweza kuwa sehemu ya "hypothesis" ya aina ya kauli hizi za Mwadhama

Ni kauli hizihizi ambazo huwa anazitoa lakini huwa zinajadiliwa na kuisha bila kufikia muafaka.

Lakini katika hili amekosea maana hana taarifa rasmi ya wale ambao wameathirika kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…