Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamanii na Mimi nitembelewe basi. Huenda nikayaona ni nafuu.Ushapungua sana
Kwa mwaka jana ilikua 10mil
Mwaka huu 3/4 mil
Hawa viongoz wa din buana..mung anawaona
Anaitwa padre Titus...Mi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Huyu Barafu anajua mambo mengi sana walau yana fact pia. Hata mimi huwa ananiwazisha sana ubobezi wake wa taarifa. Nadhani ni mtu mwenye muda mwingi sana wa kusoma pia kuwa na link ya watu wanaoaminika ktk kutoa taarifa.Mi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Ndo uone raha ya kusoma seninari !! Sio unasoma kidato cha nne bado unaagizwa junatatu uje na jembeMi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Mapunda???Anaiywa padre Titus...
Hata kama ni ww kila kitu unapata bure,hutoki hata jasho,utasema kweli maisha ni magum?
Think twice......
Hakika hili uliloongea,inaweza kuwa sehemu ya "hypothesis" ya aina ya kauli hizi za MwadhamaMkuu Barafu, kuna kitu mhashamu Polycarp Pengo anakifanya nacho ni kuweka mjadala.
Moja ya sifa za mhashamu Pengo ni kwamba yeye ni mwanachama wa kitu kinaitwa kwa kiingereza "interreligious dialogue".
Yaani anaweza kuongea kitu mahali fulani kwa minajili ya kuanzisha mjadala baina ya jamii mbalimbali na yeye kubakia akifuatilia matokeo.
Hii ni sifa kuu kabisa ya matunda ya wanafunzi wa Vatican.
Thanks again I rate this thread #1 for 2016.
Hongera kuliita jembe ni jembe na siyo rato.
Nikutonye, unakumbuka mara baada ya awamu hii kuingia madarakani kulipigwa marufuku kufanyia seminar makongamano au mikutano kwenye kumbi au hoteli binafsi.
Basi yalihamishiwa yote kwenye kumbi za Kanisa Katoliki TEC au Msimbazi kwa DSM na mtukufu Mtakatifu alibariki. Kwa hiyo Pengo anasema kweli kuwa wamevuka malengo kwa monopoly hiyo.
Hakika hili uliloongea,inaweza kuwa sehemu ya "hypothesis" ya aina ya kauli hizi za Mwadhama