Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 756
[emoji23][emoji23]Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu.
Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine.
Nikamuuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?
Akasema "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari.
Sana
Maji ya uvuguvuguMke wako anakunywa kinywaji gani
[emoji23][emoji23]Mengine tunaongea tukiwa sayari ya Zuhura.
KweliHyo akiingia uchumi wa kati ndo utaelewa
Ukimruhusu afikie uchumi wa juu zaidi yako umekwisha, ukitafuta pesa ukawa nazo nyingi na usiwe mkora kwake umekwisha vile vile..kuanzia hapo ishi nae kwa akili tena mchane live ile kauli yake kua imekustua na vaa uso wa mbuzi mpaka ajute