AkiliMingi AM
Member
- Jul 5, 2020
- 88
- 60
uko makini kinomaTatizo limeanzia kwako,inakuhusu nini mpaka uulizie eti rafiki yake kwanini hajaolewa? hilo jibu amelitoa coz amekudharau,ungekua upo serious na mambo yako asingethubutu kukutolea hiyo kauli,alijihisi kama anaongea na mtu mbea anayefuatilia maisha ya watu ndio maana akawa na confidence ya kukujibu hivyo.