"Niseme tu ukweli mme wangu, yaani toka tuoane huu ni mwaka wa pili sasa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa kabisa. Ninafanya tu kukuridhisha lakini sifurahii kitu chochote". Ha! yaani hakuna lugha nzuri ya kuwasiliana kuhusu hili kweli, nyie wana ndoa.