Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai.

Sasa huyu mtu kwa kukosa subira simu ikiwa chaji asilimia 1 tu anawasha sio case may be anataka awe hewani bad enough anaanza kutumia simu ikiwa chaji nothing important just browsing social network.

The same person anaanza kulalamika eti chaji yako sio fast mbona inachelewa kujaza hapo ndio unajua kuna watu wana shida kichwani.

Mtu wa aina hapaswi kuonewa huruma ya kubustiwa simu yake. kama unajua kuna umuhimu wa simu yako kuwa hewani wakati wote basi kuwa na nyenzo la kuwezesha hilo.
 
image.jpg
Charger ya dakika 10 hii hapa. Nimewaibia siri
 
Kubali kuishi na Watu WA Kila NAMNA Alafu ongezea maneno mawili kwako Hapana au sina ukiona Mtu anaenda kinyume na matakwa yako
 
Back
Top Bottom