Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
serikali ya wajinagRais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Mtu ametoka zanzibar ajui hata kilichokuwa kinajiri huku then ananza kumshambulia mange yaani kazi wanayo.Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Say wamevurugwa, not wamevuruganaDont waste your time comred. Wamevurugana
Kati ya kiazi na rais nani muongo?Mwanasheria mkuu ingawa ni kiazi ila amesema UKWELI
Hatuna raisKati ya kiazi na rais nani muongo?
msikilize na waziri wa mambo ya nje akihojiwa aljazeeraRais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Ni hatari sana ikiwa rais atakuwa mzushi.Hatuna rais
ila kiazi kasema ukweli.