Kauli mbili za kiroho kutoka kinywani mwa Rais John Pombe Magufuli

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli.

1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY.

This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of God himself.

Lengo la kauli hii was:

1. To repeal the curse which was imposed to this beautiful country throught the words of the Father of National of this blessed country, the Late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rest In Peace) when he once declared that "TANZANIA NI NCHI MASIKINI, TANZANIA NI TAIFA LA WATU MASIKINI ".

This was a self imposed curse and we as Tanzanians in general have been living under this curse for a decade. Even though i had always wondered what is poor about Tanzania but siwezi kusema Nyerere alikosea kutamka kauli hiyo, all i am saying is that Baba yetu Nyerere alijisahau. "Baba huwa hakosei, bali baba huwa anajisahau"

Mambo yote katika ulimwengu wa nyama huwa yanaanzia kwenye ulimwengu wa roho. Vita yoyote ile huwa inaanzia kwenye ulimwengu wa roho kwanza kabla haijaamia kwenye ulimwengu wa lnyama.

Maneno ni silaha na nyenzo muhimu sana katika ulimwengu wa roho. Katika ulimwengu wa roho, tofauti ya nguvu za kiroho kati ya damu na maneno ni sifuri.

For those who do not know, in the spiritual realm, blood is used as means of communication between the humans and the spirit. How ? (This will be a topic for another day)

Mohamed Ali in his prime defeated the undisputed and silaha kubwa kuliko zote iliyo muwezesha kuwapiga maadui zake ilikuwa ni maneno.

Even George Foremen, who according to my personal opinion, is the most toughest boxer to ever walk on the planet earth, once admitted that "I have fought with a lot of tough boxers, Mohamed Ali was not one of them".

George Foreman was miraculously defeated by Mohamed Ali in the Congo in 1974 in the infamous Rumble In the Jungle Fight.

Haihitaji kuwa professional wa mchezo wa boxing kusema Mohamed Ali hakuwa na ubavu wa kumshinda George Foreman that day na infact George Foreman alidominate pambano.

Alichokuwa anakifanya Mohamed Ali kabla ya pambano he will tell you "Nitakupiga Round ya Tano" au "Wewe haufiki raundi ya sita" Bondia akishaambiwa maneno haya tayari yanaingia na kuwa registered in his mind.

Yeye mwenyewe anaanza kujihesabia rounds, Ikifika raundi ya tatu anajiambia moyoni mwake zimebaki raundi mbili na mwisho wa siku anakuwa knocked out at round ya 5.

In the Bible imeandikwa "Uzima na mauti upo kwenye ndimi zenu". You need to be very careful of what is coming out of your mouth cause it will surely comeback to your life. (MITHALI 18:21)

Rais ni kiongozi wa juu wa nchi. Chini yake, anawaongoza mamilioni ya watu. Akiwa kama kiongozi aliepewa dhamana ya kuwaongoza mamilioni ya wananchi kauli yake ina nguvu na maana kubwa sana kwa Taifa na mustakabali wa TAIFA kwa ujumla na inaweza ama kuwafunga (kuwalaani) ama kuwabariki wananchi anao waongoza.

Kauli ya Rais au kiongozi mkubwa wa nchi isipokuwa reapealed in the spiritual realm, inaweza kuwafunga wananchi wa nchi husika for hundreds and hundreds of years.

After invading and conquering Jericko, Joshua placed a curse upon any man who would dare try to rebuild it to the effect that any man who should do so would lay the foundation in his oldest son and set up the gates in his youngest son.

Meaning that his oldest son and his youngest son will die. JOSHUA 6: 26

"Cursed before the LORD is the one who undertakes to rebuild this city, Jericho: "At the cost of his firstborn son he will lay its foundations; at the cost of his youngest he will set up its gates."

400 years later the said curse got fullfilled through King Ahab who was foolish enough to go against the decree by trying to rebuild the city of Jericho.

As a result King Ahab laid the foundation of the city of Jericho at the cost of Abiram his firstborn and set up its gates at the cost of his youngest son Segub 1 Kings 16:34.

This came to pass 4 hundred years later after the decree was pronounced. What i am trying tos ay here is that, kauli ya Rais au kiongozi mkuu wa nchi, au ukoo, au familia isipo kuwa repealed katika ulimwengu wa roho, inaweza kuwa bind wananchi wa nchi hiyo, wana ukoo wa ukoo husika au wanafamilia wa familia husika kwa miaka nenda miaka rudi.

Kwa hiyo kauli ya Rais Magufuli kwamba Tanzania ni taifa tajiri/ Tanzania is donner country ni kauli ya kiroho. Ni kauli inayo toka kwa Mungu.

Ni kauli ambayo imekuja ku repeal the curse which was mistakenly pronounced by the founder of this nation that Tanzania is a poor nation.

Kauli ya Magufuli inatoka kwa Mungu kwa sababu kwanza alicho kisema ni ukweli kabisa. Tanzania sio nchi masikini. God is telling all Tanzanians through their leader that "You Tanzanians are not poor. You country is not poor. Your country is a blessed country. I have personally blessed it. Thou shall not curse what has been blessed by God.

Kauli ya Nyerere kwamba Tanzania ni nchi masikini imefutwa rasmi kwa kauli ya Magufuli kwamba Tanzania ni nchi Tajiri na kuanzia leo asisike Mtanzania yoyote yule kutoka mahali popote pale akiitaja Tanzania kama nchi masikini.

2. KAULI NAMBA 2: KAULI YA MAGUFULI KUHUSU KUWA KIONGOZI WA MALAIKA.

Wapo watu ambao baada ya kusikia kauli ya Rais Magufuli akizungumza kuhusu ishu ya kuwa kiongozi wa malaika, walikuwa na maoni kwamba Mheshimiwa amekosea kutamka hivyo na kwamba eti amemkufuru Mungu!!

What buffled me more was the fact that miongoni mwa watu walio kuwa wanatoa kauli hiyo they coumoflaged themselves under the umbrela of being good Christrians, muslims or something.

Kauli hii ya Magufuli ingawa sio ya kinabii lakini ni kauli ya sahihi kabisa katika ulimwengu wa kiroho na ipo backed na maandiko matakatifu.

Tatizo watanzania na waafrika kwa ujumla ni watu tusio penda kusoma vitabu. Mbaya zaidi hata vile vitabu vya imani zetu navyo hatuvisomi vizuri.

Ndio maana Jumapili ukienda kwenye makanisa ya kiroho utakuta mamia kwa maelfu ya wakristo wamekusanyika makanisani kwenda usmikiliza mtu mmoja wa kuwaambia maneno ambayo yameandikwa kwenye biblia zao wenyewe.

Sisemi kukusanyika ama kwenda kanisani ni kitu kibaya la hasha, ninazungumza kuhusu motive ya wewe kwenda kanisani.

Kwenda kanisani kwa ajili ya kukusanyika na kumuabudu Mungu kwa pamoja kama alivyo agiza Bwana YESU ni jambo la heri kabisa na lenye baraka nyingi za mbinguni.

Ninacho gomba nacho hapa ni wewe unae jiita Mkristo ambae lets say unasumbua na a certain affliction of which you think it is a spiritual affliction, kwenda kanisani ili Mchungaji akuombee upone au akupe neno la kukufariji na kukutia matumaini wakati kwenye Biblia Mungu anasema "Is anyone among you suffering? Let him pray... James 5:13.

Hawezi kujua andiko hili ndio maana anaenda kanisani kuombewa ilhali Mungu anasema aombe yeye mwenyewe kama ana tatizo.

Mkristo asie ljua andiko muhimu kama hili ana haki ya kushangaa kauli ya Rais Magufuli kuhusu kuwa kiongozi wa malaika.

Suala la kutokusoma vitabu linwahusu watanzania wote both Chrsitians and Muslims. Ama kwa upande wa waislamu, how comes wewe kijana wa kiislamu unaenda kwa mtu anae jiita Ostaz ili akuombee dua wakati kila kitu kimeandikwa kwenye Holy Qouran na Hadiths.

The benefits of reciting each and every sura in the Holy Quoran are supposed to be known by every muslim. The benefits of reciting different suras and Ayas like Suratul Yaseen, Ayatul Kursi, Suratul Mariam etc are known.

If u can not recite but just listen to them, there is a lot of cds with almost each and every sura of the Holy Quoran. Some of them are in You Tube.

If you read the Holy Quoran as a muslim, you will never have a time to go to the mallams and witch doctors who comouflage themselves as Sheikhs or something.

Back to issue ya kuwa kiongozi wa Malaika, here Magufuli was reffering to PROPHET ENOCH.

According to the Holy Talmud ( which is a Jewish Holy Book) and according to Jewish Bible and the Jewish Torah, Enoch ndio MALAIKA MKUU WA MBINGUNI.

Enoch hakufa, Mungu alipendezwa nae na kazi yake ya hapa duniani ilipokamilika Mungu alituma jeshi la Malaika kutoka mbinguni ambao walimnyakua Enoch na kumpeleka hadi mahali PATAKATIFU PAKE MBINGUNI ambapo Mwenyezi Mungu ali mrename Enoch kwa kumuita METRATON na kumtawaza kama MALAIKA MKUU WA MBINGUNI.

Kwa hiyo according to the Jews, malaika mkuu wa Mbinguni was once a human being.

So based on this, kauli ya Magufuli sio kitu kipya kwa watu wanao soma maandiko na wala sio kitu kibaya.

TO BE CONTINUED.
 
Jambo zuri sana kwa Awamu ya tano kujali Wananchi wake na kulinda raslimali za Nchi
 
Wewe msukule Kawe Alumni ☝, huwa unapata hata muda wa kwenda kunyonyesha kweli! Muda wote upo active! Unachangia kila uzi wa kumsifia magu na serikali yake!

Hivi huchoki?
 
Unajikanyaga kanyaga ili kuwa tajiri inabidi uwaandae watu kumikiki utajiri, sasa huyu anawakandamiza watu kwa kuwapora utajiri, huo utajiri unaoongelea ni wa mtanadoni kijana.
Hayo uliyoyaandika sio mageni kwetu hayana uhusiano wowote na mbo ya kiroho,
Lakini mambo ya kiroho yana pande mbili kuu Giza na nuru, huenda una refer upanda wa giza
 
Yaweza kuwa alimaanisha Tanzania ina utajiri kupitia ulimwengu wa Giza, kama serikali ilimdhulumu mkulima wa SA fedha zake, na inawapora matajiri fedha kwa, inawadhulumu wafanyakazi. wafanyabiasha, wakulima kupitia kodi. Alafu inawaua wanaohoji matumizi ya hovyo

Pili magufuli anaweza kuwa malaika mkuu wa kuzimu, nadhani unajua sifa za malaika wa kuzimu
 
Mkuu unajiquote mwenyewe. Ulidhani upo kwenye id yako nyingine? Kamata mwiiz meeen
 
Baba wa Taifa hakukosea popote aliposema Tanzania ni nchi maskini. Huwezi kusema Tanzania ni nchi tajiri wakati utajiri wenyewe hujaweza kuubadilisha kuwa vitu halisi vya kuvitumia.
 
Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli.

1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY.

This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of God himself.

Lengo la kauli hii was:

1. To repeal the curse which was imposed to this beautiful country throught the words of the Father of National of this blessed country, the Late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Rest In Peace) when he once declared that "TANZANIA NI NCHI MASIKINI, TANZANIA NI TAIFA LA WATU MASIKINI ".

This was a self imposed curse and we as Tanzanians in general have been living under this curse for a decade. Even though i had always wondered what is poor about Tanzania but siwezi kusema Nyerere alikosea kutamka kauli hiyo, all i am saying is that Baba yetu Nyerere alijisahau. "Baba huwa hakosei, bali baba huwa anajisahau"

Mambo yote katika ulimwengu wa nyama huwa yanaanzia kwenye ulimwengu wa roho. Vita yoyote ile huwa inaanzia kwenye ulimwengu wa roho kwanza kabla haijaamia kwenye ulimwengu wa lnyama.

Maneno ni silaha na nyenzo muhimu sana katika ulimwengu wa roho. Katika ulimwengu wa roho, tofauti ya nguvu za kiroho kati ya damu na maneno ni sifuri.

For those who do not know, in the spiritual realm, blood is used as means of communication between the humans and the spirit. How ? (This will be a topic for another day)

Mohamed Ali in his prime defeated the undisputed and silaha kubwa kuliko zote iliyo muwezesha kuwapiga maadui zake ilikuwa ni maneno.

Even George Foremen, who according to my personal opinion, is the most toughest boxer to ever walk on the planet earth, once admitted that "I have fought with a lot of tough boxers, Mohamed Ali was not one of them".

George Foreman was miraculously defeated by Mohamed Ali in the Congo in 1974 in the infamous Rumble In the Jungle Fight.

Haihitaji kuwa professional wa mchezo wa boxing kusema Mohamed Ali hakuwa na ubavu wa kumshinda George Foreman that day na infact George Foreman alidominate pambano.

Alichokuwa anakifanya Mohamed Ali kabla ya pambano he will tell you "Nitakupiga Round ya Tano" au "Wewe haufiki raundi ya sita" Bondia akishaambiwa maneno haya tayari yanaingia na kuwa registered in his mind.

Yeye mwenyewe anaanza kujihesabia rounds, Ikifika raundi ya tatu anajiambia moyoni mwake zimebaki raundi mbili na mwisho wa siku anakuwa knocked out at round ya 5.

In the Bible imeandikwa "Uzima na mauti upo kwenye ndimi zenu". You need to be very careful of what is coming out of your mouth cause it will surely comeback to your life. (MITHALI 18:21)

Rais ni kiongozi wa juu wa nchi. Chini yake, anawaongoza mamilioni ya watu. Akiwa kama kiongozi aliepewa dhamana ya kuwaongoza mamilioni ya wananchi kauli yake ina nguvu na maana kubwa sana kwa Taifa na mustakabali wa TAIFA kwa ujumla na inaweza ama kuwafunga (kuwalaani) ama kuwabariki wananchi anao waongoza.

Kauli ya Rais au kiongozi mkubwa wa nchi isipokuwa reapealed in the spiritual realm, inaweza kuwafunga wananchi wa nchi husika for hundreds and hundreds of years.

After invading and conquering Jericko, Joshua placed a curse upon any man who would dare try to rebuild it to the effect that any man who should do so would lay the foundation in his oldest son and set up the gates in his youngest son.

Meaning that his oldest son and his youngest son will die. JOSHUA 6: 26

"Cursed before the LORD is the one who undertakes to rebuild this city, Jericho: "At the cost of his firstborn son he will lay its foundations; at the cost of his youngest he will set up its gates."

Joshua's curse was literally fulfilled years later during the reign of King Ahab. We read in 1 Kings 16:34, "In his days Hiel of Bethel built Jericho.

He laid its foundation at the cost of Abiram his firstborn, and set up its gates at the cost of his youngest son Segub, according to the word of the LORD, which he spoke by Joshua the son of Nun."

400 years later the said curse got fullfilled through King Ahab who was foolish enough to go against the decree by trying to rebuild the city of Jericho.

As a result King Ahab laid the foundation of the city of Jericho at the cost of Abiram his firstborn and set up its gates at the cost of his youngest son Segub 1 Kings 16:34.

This came to pass 4 hundred years later after the decree was pronounced. What i am trying tos ay here is that, kauli ya Rais au kiongozi mkuu wa nchi, au ukoo, au familia isipo kuwa repealed katika ulimwengu wa roho, inaweza kuwa bind wananchi wa nchi hiyo, wana ukoo wa ukoo husika au wanafamilia wa familia husika kwa miaka nenda miaka rudi.

Kwa hiyo kauli ya Rais Magufuli kwamba Tanzania ni taifa tajiri/ Tanzania is donner country ni kauli ya kiroho. Ni kauli inayo toka kwa Mungu.

Ni kauli ambayo imekuja ku repeal the curse which was mistakenly pronounced by the founder of this nation that Tanzania is a poor nation.

Kauli ya Magufuli inatoka kwa Mungu kwa sababu kwanza alicho kisema ni ukweli kabisa. Tanzania sio nchi masikini. God is telling all Tanzanians through their leader that "You Tanzanians are not poor. You country is not poor. Your country is a blessed country. I have personally blessed it. Thou shall not curse what has been blessed by God.

Kauli ya Nyerere kwamba Tanzania ni nchi masikini imefutwa rasmi kwa kauli ya Magufuli kwamba Tanzania ni nchi Tajiri na kuanzia leo asisike Mtanzania yoyote yule kutoka mahali popote pale akiitaja Tanzania kama nchi masikini.

2. KAULI NAMBA 2: KAULI YA MAGUFULI KUHUSU KUWA KIONGOZI WA MALAIKA.

Wapo watu ambao baada ya kusikia kauli ya Rais Magufuli akizungumza kuhusu ishu ya kuwa kiongozi wa malaika, walikuwa na maoni kwamba Mheshimiwa amekosea kutamka hivyo na kwamba eti amemkufuru Mungu!!

What buffled me more was the fact that miongoni mwa watu walio kuwa wanatoa kauli hiyo they coumoflaged themselves under the umbrela of being good Christrians, muslims or something.

Kauli hii ya Magufuli ingawa sio ya kinabii lakini ni kauli ya sahihi kabisa katika ulimwengu wa kiroho na ipo backed na maandiko matakatifu.

Tatizo watanzania na waafrika kwa ujumla ni watu tusio penda kusoma vitabu. Mbaya zaidi hata vile vitabu vya imani zetu navyo hatuvisomi vizuri.

Ndio maana Jumapili ukienda kwenye makanisa ya kiroho utakuta mamia kwa maelfu ya wakristo wamekusanyika makanisani kwenda usmikiliza mtu mmoja wa kuwaambia maneno ambayo yameandikwa kwenye biblia zao wenyewe.

Sisemi kukusanyika ama kwenda kanisani ni kitu kibaya la hasha, ninazungumza kuhusu motive ya wewe kwenda kanisani.

Kwenda kanisani kwa ajili ya kukusanyika na kumuabudu Mungu kwa pamoja kama alivyo agiza Bwana YESU ni jambo la heri kabisa na lenye baraka nyingi za mbinguni.

Ninacho gomba nacho hapa ni wewe unae jiita Mkristo ambae lets say unasumbua na a certain affliction of which you think it is a spiritual affliction, kwenda kanisani ili Mchungaji akuombee upone au akupe neno la kukufariji na kukutia matumaini wakati kwenye Biblia Mungu anasema "Is anyone among you suffering? Let him pray... James 5:13.

Hawezi kujua andiko hili ndio maana anaenda kanisani kuombewa ilhali Mungu anasema aombe yeye mwenyewe kama ana tatizo.

Mkristo asie ljua andiko muhimu kama hili ana haki ya kushangaa kauli ya Rais Magufuli kuhusu kuwa kiongozi wa malaika.

Suala la kutokusoma vitabu linwahusu watanzania wote both Chrsitians and Muslims. Ama kwa upande wa waislamu, how comes wewe kijana wa kiislamu unaenda kwa mtu anae jiita Ostaz ili akuombee dua wakati kila kitu kimeandikwa kwenye Holy Qouran na Hadiths.

The benefits of reciting each and every sura in the Holy Quoran are supposed to be known by every muslim. The benefits of reciting different suras and Ayas like Suratul Yaseen, Ayatul Kursi, Suratul Mariam etc are known.

If u can not recite but just listen to them, there is a lot of cds with almost each and every sura of the Holy Quoran. Some of them are in You Tube.

If you read the Holy Quoran as a muslim, you will never have a time to go to the mallams and witch doctors who comouflage themselves as Sheikhs or something.

Back to issue ya kuwa kiongozi wa Malaika, here Magufuli was reffering to PROPHET ENOCH.

According to the Holy Talmud ( which is a Jewish Holy Book) and according to Jewish Bible and the Jewish Torah, Enoch ndio MALAIKA MKUU WA MBINGUNI.

Enoch hakufa, Mungu alipendezwa nae na kazi yake ya hapa duniani ilipokamilika Mungu alituma jeshi la Malaika kutoka mbinguni ambao walimnyakua Enoch na kumpeleka hadi mahali PATAKATIFU PAKE MBINGUNI ambapo Mwenyezi Mungu ali mrename Enoch kwa kumuita METRATON na kumtawaza kama MALAIKA MKUU WA MBINGUNI.

Kwa hiyo according to the Jews, malaika mkuu wa Mbinguni was once a human being.

So based on this, kauli ya Magufuli sio kitu kipya kwa watu wanao soma maandiko na wala sio kitu kibaya.

TO BE CONTINUED.
Crap nonsense
 
Crap nonsense
U can't see sense in this thread cause ur a " none" . So remove the none and ye shall left with the sense. Or don't u know there is sense in every nonsense?
 
Bila shaka wala chembe ya mashaka,naamini unajua maana ya donor country na developed country,bila kusahau less/developing countries na vigezo vyake.
Kinachokusumbua hapa ni "fanatic love" kwa kiongozi na chama, hali inayokufanya unakuwa high kama umetumia opium, hatimaye your intellectual ability inaanza kuyumba.
Nyerere alikuwa sawa kwa kauli yake,na anaendelea kuwa sawa mpaka tutakapovuka hali hizi duni na kuufikia ukwasi kama nchi.
Na kauli ya donor country inaendelea kuwa irrelevant mpaka pale tutakapovuka hatua hii ya umasikini.
***hayo ya hiyo kauli imetoka kwa Mungu mwenyewe you can keep that, je hiyo kauli ya Nyerere ilitoka wapi?Kama huwa wanafundisha kuwa kuna influence mbili ya God na Saturn,na kwa ujinga wetu tunapuuza our own individual abilities.
Mwisho: hauwezi ukajiita billionaire na unaomba chumvi kwa jirani,mwiko na unga.Tutakuelewa kuwa unatania.HUU ULIOANDIKA NI UTANI,come with something strong next time
 
Hii mada ikiandikwa kwa Kiswahili fasaha bila kuchanganya, wakipelekewa hii hadithi wazee hasa ambao hawakusoma wataikubali sana.

Ila hapa kwa GT , siyo rahisi.
 
Ur in flesh and blood and i.am in spirit. Two different realms
 
Back
Top Bottom