Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaboom
Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..
 
Lakini uvumilivu ujue ice inafikia hatua unachoka jamani havivumiliki tena
Enhee!
Sasa ukichoka hapo unaruhusiwa kuondoka
Na yeye sasa siyo kwakuwa unampenda akufanye boya. Uvumilivu wako usichukuliwe kama udhaifu
Kwa hilo pia una point
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kama nakuona
Enhee!
Sasa ukichoka hapo unaruhusiwa kuondoka
Na yeye sasa siyo kwakuwa unampenda akufanye boya. Uvumilivu wako usichukuliwe kama udhaifu
Kwa hilo pia una point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…