Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kabsaa.
Isije ikatokea ukamwacha yule kijana kwa mambo madogo madogo.
Landa kuwa kuna sababu kubwa sana.
Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..Hahaha sasa mkuu unafikiri hilo nijambo jepesi???
Hapo ukute mtarajiwa wako anadaiwa vicoba, imebaki mwezi mmoja kodi yake ya nyumba iishe,zimebaki week mbili kodi yake ya kafrem kake ka duka lake la vipodozi iishe unafikiri kutakua na maelewano hapo?..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nimvumilie tu jamani iceman nacheka kama mwehu
Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sifa kuu ya upendo ni uvumilivu mama
Hata mi Ney ana nivumiliaga ndio tunaenda mdogo mdogo hivo.
[emoji124] [emoji23]
Enhee!Lakini uvumilivu ujue ice inafikia hatua unachoka jamani havivumiliki tena
Enhee!
Sasa ukichoka hapo unaruhusiwa kuondoka
Na yeye sasa siyo kwakuwa unampenda akufanye boya. Uvumilivu wako usichukuliwe kama udhaifu
Kwa hilo pia una point
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kama nakuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuona ndio mana nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa na mi nimeanza ku imagen kama nakuona hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuona ndio mana nimecheka sana
Sanaaaaa!!Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] na mm nasema mkulane tu hakuna kuachika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kifalaaSiku hizi wadada mnajua kung'ang'ania sana, kuna mmoja nilimtania tu ntakuoa kesho yake akaja kwangu na mabegi!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iceman bana nakupenda tu mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama umeniona hiyo ni sawa maana mie ni invinsible
Mambo ni hiviiiii hivi unafturu saa ngapiSanaaaaa!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unakaba hadi mashabiki!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] daahNampa tu ndio bahati yake
Hana hisia huyoo na hakupendiKama mtarajiwa sauti yangu haimloweshi inabidi nijifikirie mara mbili aisee..