Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Hahaha sasa mkuu unafikiri hilo nijambo jepesi???

Hapo ukute mtarajiwa wako anadaiwa vicoba, imebaki mwezi mmoja kodi yake ya nyumba iishe,zimebaki week mbili kodi yake ya kafrem kake ka duka lake la vipodozi iishe unafikiri kutakua na maelewano hapo?..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaboom
Teh teh..Mkuu kwani unadhani wakina shunie hayo matatizo hawana..Mbona wao wanaloa..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kama nakuona
Enhee!
Sasa ukichoka hapo unaruhusiwa kuondoka
Na yeye sasa siyo kwakuwa unampenda akufanye boya. Uvumilivu wako usichukuliwe kama udhaifu
Kwa hilo pia una point
 
Back
Top Bottom