Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa tu...Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
Kama simba si walitumia do or die na wakafika mbaliWrite your reply...mpira hauna kauli mbiu zaidi ya academy za watoto na soka la vijana basii
Tunaweza fika mbali tukitumia hii kauli.Kauli za Magundu zimejaa Magundu
poa. ilimradi tu iwe cocktail na zile za wapinzani wetu "pipoz power" au "kazi-na-bata" au za wanaharakati "change-tanzania", etc...Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
Kwani Taifa Stars inabangua korosho au inajenga ukuta wa Mererani??Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
Tunaweza fika mbali tukitumia hii kauli.
Jamaa full Magundu, anataka maziwa kutoka kwa kuku.Ni jaribio kwa kichwa buta tutaona kama kauli zake zinawaunganisha watanzania.
(mkikunyugwa migoli msinihusishe na upuuzi huo)
UNAFANANISHA KAULIMBIYU ILIYOTOKA KWENYE FIKRA ZA MOYONI ,NA KAULI MBIU ILIYOBUNIWA NA AKILI ,TENA AKILI KUBWA!Write your reply...mpira hauna kauli mbiu zaidi ya academy za watoto na soka la vijana basii
Bila jitihada do or die isingesaidiaKama simba si walitumia do or die na wakafika mbali