Kauli mbiu ya taifa stars: hapa kazi tu

Kauli mbiu ya taifa stars: hapa kazi tu

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
 
Unawaza kutumia nn
FB_IMG_15605932076442071.jpeg
 
Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
poa. ilimradi tu iwe cocktail na zile za wapinzani wetu "pipoz power" au "kazi-na-bata" au za wanaharakati "change-tanzania", etc...
 
Napendekeza kauli mbiu ya taifa stars AFCON iwe hapa kazi tu. Hii inaweza kutupa hamasa tukafika hata robo fainali
Kwani Taifa Stars inabangua korosho au inajenga ukuta wa Mererani??

Sasa kauli mbiu ikiwa hiyo afu tukakandikwa mabao kibao "kazi" yetu itakuwa ni kupigwa mabao au kutobolowa matobo?
 
Ni jaribio kwa kichwa buta tutaona kama kauli zake zinawaunganisha watanzania.
(mkikunyugwa migoli msinihusishe na upuuzi huo)
 
Kama ujinga ungekuwa unatolewa marks basi hapa ungekuwa umepata asilimia 100 ya 100.
 
Write your reply...mpira hauna kauli mbiu zaidi ya academy za watoto na soka la vijana basii
UNAFANANISHA KAULIMBIYU ILIYOTOKA KWENYE FIKRA ZA MOYONI ,NA KAULI MBIU ILIYOBUNIWA NA AKILI ,TENA AKILI KUBWA!
 
Back
Top Bottom