PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaaAl Hilal hawana muunganiko kabisa.
😂😂😂😂Kweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kweli hiyo ni singeli kwenye bit la celin deonSlogan ya mechi ijayo iwe "LIWALO NA LIWE" maana tushacheza singeli kweny beat ya Celine Dion
Akili zingine, "Unbeaten" ndo inafanya muogope mechi za kimataifa za kirafiki, hivi wakitolewa, unbeaten itakuwa na msaada gani?Rage aliwatunuku akili za kuvukia barabara, mnadhindwa kuiongelea timu yenu trip shamba trip gereji mnabaki kuiongelea timu iliyokamilika kila idara? Timu unbeaten mechi 42, aliyewaroga alishaga kufa sio bure,
Aragija FCYanga anashinda kwa kishibdo leo.timu ngumu kwetu ilikuwa mtibwa naye kala tatu bila.Al Ahlyhawana muunganiko kukaa pamoja tangu wasajili wachezaji.Yanga ya Nabi ni Esparence ya Tunisia. Njoo kesho ucheke mwana yanga !napinga nyumba yangu wewe nipe ndizi,Yanga anashinda leo
Amepiga ngapFei anapiga mbili zlle za nje ya 18.
Nimekaa pale.
Akishinda mimi shogaYanga anashinda leo. Lakini atatolewa kule sudani
Kwa msaada wa refa ARAGIJA UEFA MNABEBAKweli kabisa, ndo kwanza wanajitafuta, kocha mpya wachezaji wapya....Sisi timu yetu ina quality players, huku una bangala, hapa fei toto, hapa aucho, kule aziz k, pale morison, bado mayele, djuma shaban, kibwana wewe...hata aje barcelona anakaa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Atazipigia Sudan,subiri meza inapinduliwaAmepiga ngap