Kauli mnazozitoa ni mbaya, acheni

Kauli mnazozitoa ni mbaya, acheni

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mtu anakopa pesa halafu anasema hakuna mtanzania atakae gibgewa kodi kudaiwa deni, aise hiyo mikopo utalipwa na nani?

Jitu linapandisha Gharama za nauli kutoka kiasi fulani mpaka kiasi fulani halafu unasema eti hakuna mtanzania ATASHINDWA KULIPA, wewe uko kwenye mifuko yetu au unatupa ruzuku ya kulipa nauli?

Screenshot_20230105-133600.jpg
 
View attachment 2469797
Alikuwepo mtetezi wa wanyonge akapigwa vita kila mahali. Wakasema hakuna mtanzania mnyonge.
Acha mambo yaende hivyohivyo hadi maji tuite mma!
 
iyo camera shot nimeikubali sana, msasani-gongo la mboto eeh
 
Alikuwepo mtetezi wa wanyonge akapigwa vita kila mahali. Wakasema hakuna mtanzania mnyonge.
Acha mambo yaende hivyohivyo hadi maji tuite mma!
Hata huyo mtetezi wa wanyonge pia alikuwa ana mabaya yake hakuna binaadamu aliekamilika akiondoka huyu atakae kuja mtasema bora ya huyu.
 
Alikuwepo mtetezi wa wanyonge akapigwa vita kila mahali. Wakasema hakuna mtanzania mnyonge.
Acha mambo yaende hivyohivyo hadi maji tuite mma!

Alipokuwepo mtetezi wa wanyonge wanyonge walikua wanatekwa na kuuliwa na watu wasiojulikana,na mtetezi wao akifurahia matendo ya watu wasiojulikana
 
Back
Top Bottom