Mifumo gani. Hebu tupe mfano hata mmojaHuyu Samia naye haoneshi nia njema ya kuipenda nchi kwa vitendo.
Nia njema yake hii alipaswa kuiwekea mifumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mifumo gani. Hebu tupe mfano hata mmojaHuyu Samia naye haoneshi nia njema ya kuipenda nchi kwa vitendo.
Nia njema yake hii alipaswa kuiwekea mifumo
Sheria na katiba ndiyo viwe miongozo.Mifumo gani. Hebu tupe mfano hata mmojja
Rais wetu naweza kusema anaendesha nchi kwa kufuata na kuzingatia kanuni na miongozo ya utawala Bora na utawala wa Sheria, Ndio maana unaona namna nchi ilivyoTulia na ilivyo na amani, Watu wapo huru na hawana hofu yoyote maana wanajuwa mama Ni kiongozi na siyo mtawala, wanaoona mama Ni mtumishi wao Ni siyo MtukufuSheria na katiba ndiyo viwe miongozo.
Angalia Japan, Uingereza, n.k nchi ambazo zinayojulikana kama constitutional sensitive countries. Kila mtu anaiogopa katiba. Na mambo yanakwenda vizuri mno. Hiyo ndiyo mifumo Sasa.
Jambo linalokiuka katiba na sheria likitokea kiongozi anajitathmini na kuachia ngazi.
Sijui kama unajua watu wa kanda ya ziwa wanawekwa pembeni siku hadi siku...sijui kama unajua kwamba hiyo inaweza kua sumu ya baadae? Tafakari kwa kina usikurupuke tuNdugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.
Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo mengi tu nchini akifariki mtu wa chama fulani Basi wachama kingine wanaona siyo msiba wao
Mama aliposhika madaraka jukumu lake likawa Ni kuwaunganisha Watanzania ili kujenga umoja wa kitaifa ,kwani alitambua kuwa hakuna maendeleo yanayoweza patikana ikiwa nchi imegawanyika
Kwasababu kipindi hiki kilikuwa Ni Cha muhimu kuwaunganisha watu, kwani Kuna watu walikuwa Wana majeraha na machungu katika mioyo yao, Kuna watu walikuwa wanatamani hata tuvamiwe na wangekuwa upande wa adui kwa namna walivyo kuwa na hasira katika mioyo yao,.
Na hapa mnaweza mkakumbuka kilichomkumba msanii Diamond platinum pale baadhi ya watanzania walipoamua kuhamasishana ili anyimwe kura na apewe mnigeria,. kauli Njema huumba, kauli Njema hujenga,kauli Njema huleta matumaini, kauli Njema hushusha hasira kwa mtu mwenye hasira,kauli Njema huleta faraja kwa mtu mwenye majonzi na machungu, hiki ndicho alichokifanya mh Mama Samia katika kulijenga Taifa hili
Kwa Sasa Taifa Ni moja, Tanzania Ni moja, Watanzania Ni wamoja, Tunalia kwa pamoja na Tunafurahi kwa pamoja, kila mtanzania anayo Imani kubwa kwa mama yetu kipenzi mama Samia suluhu Hassani
Leo hii akisimama mh Mbowe au mh Zitto au mh lipumba au mh mbatia Kama Ni mgeni na huwajuwi unaweza kuzani wanatoka chama tawala kwanamna wanavyozungumza na kuhubiri Aman,upendo,mshikamano,kuvumiliana na kumshauri mh Rais kwa maneno ya Hekima na busara na kumuunga mkono na kumpongeza mama yetu kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuijenga nchi yetu,
Sasa hivi kila mtu ana amani kutoa kauli ya kuijenga nchi maana vifua vina Aman juu ya kazi njema ya mh Rais,
Rai yangu Kama mtanzania na Mwana CCM Nawaombeni tuijenge nchi yetu, Tumuunge mkono Rais wetu kipenzi, Tuvumiliane panapobidi, Tukosoane kwa staha na hekima, Tujuwe tuna Jenga nyumba moja, Tujuwe hatuna kwa kwenda Zaid ya hapa, Tujuwe tukiharibu Nchi yetu tumeharibu maisha yetu na vizazi vijavyo,.
Maziwa ya mama mzazi Ni matamu kuliko ya kununua,Tanzania ndio mama yetu na sote Tutanyonya na kufurahi ikiwa mama Huyu atakuwa na utulivu wa akili na mzima wa Afya, hivyo tumlinde, tumpiganie na kumuombea,
Tumuunge mkono mama yetu mh Samia, tumuombee na kumlinda kwa Sara na Dua zetu kwake, Vita ya kuijenga nchi siyo nyepesi, inahitaji mshikamano, inahitaji faraja kwa kiongozi wetu aliye mstari wa mbele kutupigania, Rais Ni mwanadamu hivyo anahitaji faraja zetu na maombi yetu,.
Asante mama yangu Mh Samia, Endelea kuchapa kazi, Endelea kuwatumikia watanzania, Usikate tamaa pale utakapoona watu ulio wategemea wakusaidie kazi wakawa wakwanza kukuangusha, usirudi nyuma, songa mbele maana watanzania wengi Tupo pamoja na wewe kwa kazi nzuri zinazogusa maisha yetu watanzania,.
Mwisho Naomba wasaidizi mliopewa dhamani na nafasi ya kumsaidia mama yetu mhakikishe mnafanya kazi kwa bidii na kujituma kuwatumikia watanzania, mjuwe Ni Mungu ndio amewainua ili mtutumikie sisi watanzania wanyonge, muwe wanyenyekevu na wenye huruma, mtangulize maslahi ya nchi na wakati wote muombe busara za mwenyezi Mungu katika maamuzi yenu, msimuonee mtu Wala kumuumiza mtu, mikono yenu iwe Safi na vinywa vyenu vihubiri amani na upendo, Asanteeeeeee kazi iendeleee
Hakuna Anaye tengwa Wala kuwekwa pembeni na mama yetu, Ndio maana umeona hata ziara amefanya za kutosha katika ukanda huo, Kila mtanzania anapewa nafasi kulingana na uwezo wake bila kujari katokea wapi, Tuondoe mawazo ya kikabila,kidini na kikanda katika akili zetu, Mtu akiteuliwa tusianze kuulizana habari ya kabila lake au dini yake, Bali tuulizane juu ya uwezo wake katika nafasi aliyoteuliwa kuishika na anaweza na amekidhi vigezo na ataweza kuimuduSijui kama unajua watu wa kanda ya ziwa wanawekwa pembeni siku hadi siku...sijui kama unajua kwamba hiyo inaweza kua sumu ya baadae? Tafakari kwa kina usikurupuke tu
Naungana na wewe na hakuna anayebisha Hilo. Lkn hizo kanuni na miongozo ya utawala bora za Samia zilipaswa zifungwe kwenye sheria mama (katiba). Isiwe kwa utashi wake.Rais wetu naweza kusema anaendesha nchi kwa kufuata na kuzingatia kanuni na miongozo ya utawala Bora na utawala wa Sheria, Ndio maana unaona namna nchi ilivyoTulia na ilivyo na amani, Watu wapo huru na hawana hofu yoyote maana wanajuwa mama Ni kiongozi na siyo mtawala, wanaoona mama Ni mtumishi wao Ni siyo Mtukufu
😁😁..Taratibu tutaelewana tu!Wenzake huwa wanafanya mageuzi makubwa ndani ya siku 100 tu. Huyu nishamstukia . UTANIKUMBUKA!
Mzizi wa tatizo ni mm, wewe na yule. Kwa pamoja tunastahili lawama. CCM hawawezi kujikaanga kwa kuweka mazingira mazuri ya siasa ili waondoke madarakani. Ilipaswa tuwashinikize. Lkn ndiyo tuko bize kuomba connection😁😁..Taratibu tutaelewana tu!
CCM huwa inabadilisha rangi tu.
Tutafika huko kwenye katiba muda ukifika, Hakuna jiwe litakalobaki bila kugeuzwa katik uongozi wa mama yetu kipenzi mama Samia suluhu Hassani, Amedhamilia kuijenga nchi hii na kuinua maisha ya watanzania, Tumuunge mkono na kumwombea ili mungu azidi kumlinda wakati woteNaungana na wewe na hakuna anayebisha Hilo. Lkn hizo kanuni na miongozo ya utawala bora za Samia zilipaswa zifungwe kwenye sheria mama (katiba). Isiwe kwa utashi wake.
Katiba yetu inampa rais Uhuru wa kuwaumiza, kutesa na kuwanyima watu haki zao kama ilivyokuwa kwa awamu ya tano. Haya ndiyo tunasema yarekebishwe na mama.
Mama hana noma akisema "Na hayo mukayangalie" ana maana hiyo ni sauti ya Rais si sawa na sauti za mitaani msichukulie poaNdugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.
Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo mengi tu nchini akifariki mtu wa chama fulani Basi wachama kingine wanaona siyo msiba wao
Mama aliposhika madaraka jukumu lake likawa Ni kuwaunganisha Watanzania ili kujenga umoja wa kitaifa ,kwani alitambua kuwa hakuna maendeleo yanayoweza patikana ikiwa nchi imegawanyika
Kwasababu kipindi hiki kilikuwa Ni Cha muhimu kuwaunganisha watu, kwani Kuna watu walikuwa Wana majeraha na machungu katika mioyo yao, Kuna watu walikuwa wanatamani hata tuvamiwe na wangekuwa upande wa adui kwa namna walivyo kuwa na hasira katika mioyo yao,.
Na hapa mnaweza mkakumbuka kilichomkumba msanii Diamond platinum pale baadhi ya watanzania walipoamua kuhamasishana ili anyimwe kura na apewe mnigeria,. kauli Njema huumba, kauli Njema hujenga,kauli Njema huleta matumaini, kauli Njema hushusha hasira kwa mtu mwenye hasira,kauli Njema huleta faraja kwa mtu mwenye majonzi na machungu, hiki ndicho alichokifanya mh Mama Samia katika kulijenga Taifa hili
Kwa Sasa Taifa Ni moja, Tanzania Ni moja, Watanzania Ni wamoja, Tunalia kwa pamoja na Tunafurahi kwa pamoja, kila mtanzania anayo Imani kubwa kwa mama yetu kipenzi mama Samia suluhu Hassani
Leo hii akisimama mh Mbowe au mh Zitto au mh lipumba au mh mbatia Kama Ni mgeni na huwajuwi unaweza kuzani wanatoka chama tawala kwanamna wanavyozungumza na kuhubiri Aman,upendo,mshikamano,kuvumiliana na kumshauri mh Rais kwa maneno ya Hekima na busara na kumuunga mkono na kumpongeza mama yetu kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuijenga nchi yetu,
Sasa hivi kila mtu ana amani kutoa kauli ya kuijenga nchi maana vifua vina Aman juu ya kazi njema ya mh Rais,
Rai yangu Kama mtanzania na Mwana CCM Nawaombeni tuijenge nchi yetu, Tumuunge mkono Rais wetu kipenzi, Tuvumiliane panapobidi, Tukosoane kwa staha na hekima, Tujuwe tuna Jenga nyumba moja, Tujuwe hatuna kwa kwenda Zaid ya hapa, Tujuwe tukiharibu Nchi yetu tumeharibu maisha yetu na vizazi vijavyo,.
Maziwa ya mama mzazi Ni matamu kuliko ya kununua,Tanzania ndio mama yetu na sote Tutanyonya na kufurahi ikiwa mama Huyu atakuwa na utulivu wa akili na mzima wa Afya, hivyo tumlinde, tumpiganie na kumuombea,
Tumuunge mkono mama yetu mh Samia, tumuombee na kumlinda kwa Sara na Dua zetu kwake, Vita ya kuijenga nchi siyo nyepesi, inahitaji mshikamano, inahitaji faraja kwa kiongozi wetu aliye mstari wa mbele kutupigania, Rais Ni mwanadamu hivyo anahitaji faraja zetu na maombi yetu,.
Asante mama yangu Mh Samia, Endelea kuchapa kazi, Endelea kuwatumikia watanzania, Usikate tamaa pale utakapoona watu ulio wategemea wakusaidie kazi wakawa wakwanza kukuangusha, usirudi nyuma, songa mbele maana watanzania wengi Tupo pamoja na wewe kwa kazi nzuri zinazogusa maisha yetu watanzania,.
Mwisho Naomba wasaidizi mliopewa dhamani na nafasi ya kumsaidia mama yetu mhakikishe mnafanya kazi kwa bidii na kujituma kuwatumikia watanzania, mjuwe Ni Mungu ndio amewainua ili mtutumikie sisi watanzania wanyonge, muwe wanyenyekevu na wenye huruma, mtangulize maslahi ya nchi na wakati wote muombe busara za mwenyezi Mungu katika maamuzi yenu, msimuonee mtu Wala kumuumiza mtu, mikono yenu iwe Safi na vinywa vyenu vihubiri amani na upendo, Asanteeeeeee kazi iendeleee
Dikteta aliligawa Taifa kwa udini na ukabila wake, na amezalisha mazezeta wengi wasiojitambuaNdugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.

Dikteta alifanya mageuzi gani ndani ya siku Mia? Kuteka watu!Wenzake huwa wanafanya mageuzi makubwa ndani ya siku 100 tu. Huyu nishamstukia . UTANIKUMBUKA!
Iwe sumu baadae kwani hao watu wa kanda ya ziwa ndio wenye Nchi? Magufuli aliwalisha ujingaSijui kama unajua watu wa kanda ya ziwa wanawekwa pembeni siku hadi siku...sijui kama unajua kwamba hiyo inaweza kua sumu ya baadae? Tafakari kwa kina usikurupuke tu
Kazi iendelee 💪💪💪Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,.