Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Mkuu inawezekana huwa wanakupa taarifa mapema maana ukikutanaga nao wanakuonaga Mapepe sana au Limbukeni wa Mambo... Hapo tu tayari ushaonesha we LIMBUKENI Samahani lakini...!!
 
sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
Mweeeh
 
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Hivi huwa mnakutana nao wapi nami niende.....!!??
 
Mmmh mzigua kacharuka...[emoji85] [emoji125]
 
Tunauziana mpaka vimeo humu hilo halina shaka halimo kabsaa
Umesahau na kutapeliana hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jf full package aisee

Wazuri vs wabovu
Malaya vs waaminifu
Matapeli vs wakweli
Matajiri vs maskini
Wasomi vs Ngumbaru
Foreigners vs local
...............................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…