Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

I see
 
Na ikitokea haingii kwenye reli vizuli urafiki unakufa.
 
Hahaaaaa. Aiseeee.

Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.

Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Kwani unaounganisha nao vikijoleo hauwaheshim??

Sent from my SM-A8000 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaaaa. Aiseeee.

Watu kama nyie ndio mtafanya watu waogope kuwaona yaani ukishaonana na mwanamke mzuri tu basi umeshabadili mawazo. Mmh.

Mie sijawahi. Nilioonana nao naheshimiana nao na hakuna hata mmoja aliyewaza mambo ya kuunganisha vikojoleo.
Mmmngh! Unawezaje kujua mawazo ya mtu?
 
Mmmngh! Unawezaje kujua mawazo ya mtu?
Hahaaa. Nikwambie tu mie kama mie sio mrahisi kuonana na mtu aiseee.

Hivyo mpaka nakukubalia ujue tushachat sana na nishakuchota sana akili hivyo nakuwa kwa asilimia kubwa nishajua mawazo yako yalipo.

Kama ni ya kuunganishana hivyo vikojoleo duu. Utasubiri sana kumuona Emmy. Hahahaaaa.
 
Yani hilo litegemee kabsaa labda kama kuna kitu kimewaunganisha hapo sawa.
Kama mmeungana kirafiki tu tegemea tongozo kama utaelekea kibra
Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.

Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.

Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
 
Aiseeeeeee! Sababu ya ww kuwa hivo naijua sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…