Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kwenye hii dunia bado kuna mianaume menzetu misnitch namna hii?

Sasa hewa kama huyu akipewa uchi hivi itakuaje?

Aisee,this is sad kabisa!

Unafungua uzi so what?Au unawaambia watu so what?

You need help aisee!
Eti tujue ameonana na mtu.

Halafu unakuta ni ndoto za mchana.

Leo jua limeanza mapema kweli.
 
Rafiki kabsaa meshibana kapata kahoma anakuita umpikie uji huwezi kataa najua sasa basi bahati mbaya au nzuri kasimama atakuomba umkalishe jee utakataa?
Hahahaaa. Aiseee nimecheka sana yaani kwa hapo ulipopasimamia. Ila niseme tu kwangu mie hapana.
 
Kufunguliana uzi imepitwa na Wakati,sasa hivi ni kurushiana picha na kusimuliana wasifu.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wasifu wa mlaini mgumu au bwawa au speedo?
 
Hahahaaaa. Itakuwa mie niko nyuma aiseee! Sinaga imani hizo wala mawazo hayo aisee.
Urafiki unaodumu ni kati ya mwanamke na mwanaume ambaye labda sio mjanja mjanja au hana tamaa ...ila hamba kitu risk kama kuamini mwanamke ataweza kuvumilia mikiki mikiki ya mwanaume mjanja...neveeer ...
 
narudia tena na tena,mademu wa jf wengi wabovu.lakini wana mbwembwe hatari.kuna mmoja huyo kila baada ya dk anakuja nauzi mpya kuhusu wanaume.
Kaka huku kuna wadada Wakali hatari!! sena ndio hivyo wengi wameolewa.
Ila wapo na wanaji heshimu, makuzi wanaleta hapa ila PM ni wastaarabu tuu.
 
Mnaanzaga hivi hivi sijui kushibana mara anapigwa mtu mashine......wanawake washamba wanapotea duniani hence waolewaji wanapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.
 
Urafiki unaodumu ni kati ya mwanamke na mwanaume ambaye labda sio mjanja mjanja au hana tamaa ...ila hamba kitu risk kama kuamini mwanamke ataweza kuvumilia mikiki mikiki ya mwanaume mjanja...neveeer ...
Hahahaaa. Umeanza kujikanyaga sasa. Hivyo unaamini wanaume wasio na tamaa wapo?

Kama unaamini hivyo basi usishangae nilichoandika na ninachokiamini mimi kama mimi.
 
Kaka huku kuna wadada Wakali hatari!! sena ndio hivyo wengi wameolewa.
Ila wapo na wanaji heshimu, makuzi wanaleta hapa ila PM ni wastaarabu tuu.
sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…