Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Basi wewe katika marafiki jitoe sema mnajuana tu lakini sio marafiki.Hahahaaa. Aiseee nimecheka sana yaani kwa hapo ulipopasimamia. Ila niseme tu kwangu mie hapana.
Pole kwa kicheko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi wewe katika marafiki jitoe sema mnajuana tu lakini sio marafiki.Hahahaaa. Aiseee nimecheka sana yaani kwa hapo ulipopasimamia. Ila niseme tu kwangu mie hapana.
Sasa kama unaona ubovu wa wenzio si inamaanisha wewe u mkamilifu?wapi hapo kwenye komenti kuna neno ukamilifu?
[HASHTAG]#mademu[/HASHTAG] wabovu utawajua tu.
Kwani mtu kukwambia hivyo ndo kwamba hajiheshimu? Mtu hajataka tu awekewe bango.Mbona mimi nimekutana nao na sijaambiwa hizo kauli...
JF ina wadada wanaojiheshimu ila wengine ndio hao kivuruge
Ushamuona?narudia tena na tena,mademu wa jf wengi wabovu.lakini wana mbwembwe hatari.kuna mmoja huyo kila baada ya dk anakuja nauzi mpya kuhusu wanaume.
[emoji85] [emoji85]Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahahahaa. Sawa nimekausha.Nakuona unavyotaka kuharibu mbona mii na wewe marafiki kausha bhanaa
Tunauziana mpaka vimeo humu hilo halina shaka halimo kabsaaAkili yako iko kwenye mapenzi mkuu,
Wengine humu wanaonana kwa ajili ya biashara za hapa na pale
mmmh[emoji15]sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
wapi nimeonyesha ukamilifu mbona mzito?Sasa kama unaona ubovu wa wenzio si inamaanisha wewe u mkamilifu?
Watajua wenyewe na ushamba wao. Wasisahau kushare mpaka na walivyokua hawajavaa nguo itapendeza zaidi.wowote tu.
Hivi wanayo kumbe? Tunachorwa jamani. [emoji2][emoji2]Hahahaaaa kulee kwenye magroup ya wozap
Hahahaaaaa. Hapa tubaki tu kila mmoja na imani yake mie naamini mbali na kujuana wote ni marafiki zangu.Basi wewe katika marafiki jitoe sema mnajuana tu lakini sio marafiki.
Pole kwa kicheko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Jamaa ana utani mpaka mda mwingine nahisi ndo gia zake za kuwaingia mana kuna watu ni wabunifu khatar
wengi tu na wengine washaanza kuja kumwaga povu hapa...Ushamuona?
Watu tunabadili Id mchezo!Hivi wanayo kumbe? Tunachorwa jamani. [emoji2][emoji2]
Ngoja uloonana nao waje. Yani unawasema wabovu baada ya kuwaona? Kwahiyo ulikua wafanya research au?sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
Muulize akujibu mpenzi wake anaweza kumuonyesha rafiki yake wa kiume na akaridhia?Urafiki unaodumu ni kati ya mwanamke na mwanaume ambaye labda sio mjanja mjanja au hana tamaa ...ila hamba kitu risk kama kuamini mwanamke ataweza kuvumilia mikiki mikiki ya mwanaume mjanja...neveeer ...
Hahahaaa. Eti ni kweli rafiki au wewe hujawahi onana na mtu humu?[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
uko sahihiKwani mtu kukwambia hivyo ndo kwamba hajiheshimu? Mtu hajataka tu awekewe bango.
Aringe. Utakuta ndo wale wale kina Masoud.Kwa maono yako inaonekana uu mkamilifu sana mkuu,
Hongera.