Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahahaaa. Aiseee nimecheka sana yaani kwa hapo ulipopasimamia. Ila niseme tu kwangu mie hapana.
Basi wewe katika marafiki jitoe sema mnajuana tu lakini sio marafiki.

Pole kwa kicheko
 
sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
Ngoja uloonana nao waje. Yani unawasema wabovu baada ya kuwaona? Kwahiyo ulikua wafanya research au?
 
Urafiki unaodumu ni kati ya mwanamke na mwanaume ambaye labda sio mjanja mjanja au hana tamaa ...ila hamba kitu risk kama kuamini mwanamke ataweza kuvumilia mikiki mikiki ya mwanaume mjanja...neveeer ...
Muulize akujibu mpenzi wake anaweza kumuonyesha rafiki yake wa kiume na akaridhia?
 
Back
Top Bottom