Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Sasa wee kanali huoni umevucha kile kiapo chako cha utii kuwa hutotoa siri?
 
sijakataa wapo wakali,bt mademu wengi wa jf wabovu....nimekutana na sampuli nyingi ndo maana nikaconclude,mademu wengi wa hum mashauzi mengi bt wabovu....kuna mmoja ana nyonyo cjawah ona duniani labda mars...
Mkuu tupo sayar yatatu inayoitaa Earth ...Wenda 2100 ndo Mars na Earth vitakua na interaction
 
Umesahau na kutapeliana hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jf full package aisee

Wazuri vs wabovu
Malaya vs waaminifu
Matapeli vs wakweli
Matajiri vs maskini
Wasomi vs Ngumbaru
Foreigners vs local
...............................
Sie wengine ngoja tuwe tuna burudika tu
 
Duuuuu nimesikitika sana kwa huyu sijui ni mwanaume au mvulana? Mimi binafsi nimeonana na km watatu hivi na maisha ya urafiki yanaendelea vizuri sana na mmoja tumesaidiana sana kwenye ishu tofauti maana anafanya kazi sehemu ambayo nilikuwa napata usumbufu ku solve ishu yangu. Jamani wadada wazuri na wife materials wapo humu believe me. Hongera kwako Dada N kwa kuendelea kunisaidia.
 
Akili yako iko kwenye mapenzi mkuu,

Wengine humu wanaonana kwa ajili ya biashara za hapa na pale
Inategemea wameonana kupitia jukwaa lipi! Wanaoonana kupitia jukwaa LA MMU lengo ni mgegedo tu! Biashara wapi na wapi????
 
Ila kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.
Safiiiiiiii!!!!!!!
 
Back
Top Bottom