Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kisheria yanga atabondwa vibaya. Mi ni shabiki wa yanga ila hapanaona kinacho endelea ni ujinga tuTofautisha adui na mshindani/ mpinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisheria yanga atabondwa vibaya. Mi ni shabiki wa yanga ila hapanaona kinacho endelea ni ujinga tuTofautisha adui na mshindani/ mpinzani
Uadui ni kimichezo tu na si lugha ngeni kati ya vilabu hivi viwili labda kama umeanza kushabikia hizi timu enzi za Mayele, walioshitaki hawana hoja zaidi ya kutaka kubalance matukio tu na mchecheto wa tarehe 8 March.Tofautisha uadua na ushindani
Wale ni washindani sio maadui