Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Mar 5, 2025 #21 ngara23 said: Tofautisha adui na mshindani/ mpinzani Click to expand... Kisheria yanga atabondwa vibaya. Mi ni shabiki wa yanga ila hapanaona kinacho endelea ni ujinga tu
ngara23 said: Tofautisha adui na mshindani/ mpinzani Click to expand... Kisheria yanga atabondwa vibaya. Mi ni shabiki wa yanga ila hapanaona kinacho endelea ni ujinga tu
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Mar 5, 2025 #22 Wanamuonea tu mbona lugha ya kuwa Simba na Yanga ni mahasimu ni ya kawaida sana, uadui wao ni wa kimchezo siyo wa kushikiana mapanga.
Wanamuonea tu mbona lugha ya kuwa Simba na Yanga ni mahasimu ni ya kawaida sana, uadui wao ni wa kimchezo siyo wa kushikiana mapanga.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Mar 5, 2025 Thread starter #23 SAGAI GALGANO said: Wanamuonea tu mbona lugha ya kuwa Simba na Yanga ni mahasimu ni ya kawaida sana, uadui wao ni wa kimchezo siyo wa kushikiana mapanga. Click to expand... Tofautisha uadua na ushindani Wale ni washindani sio maadui
SAGAI GALGANO said: Wanamuonea tu mbona lugha ya kuwa Simba na Yanga ni mahasimu ni ya kawaida sana, uadui wao ni wa kimchezo siyo wa kushikiana mapanga. Click to expand... Tofautisha uadua na ushindani Wale ni washindani sio maadui
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Mar 5, 2025 #24 ngara23 said: Tofautisha uadua na ushindani Wale ni washindani sio maadui Click to expand... Uadui ni kimichezo tu na si lugha ngeni kati ya vilabu hivi viwili labda kama umeanza kushabikia hizi timu enzi za Mayele, walioshitaki hawana hoja zaidi ya kutaka kubalance matukio tu na mchecheto wa tarehe 8 March.
ngara23 said: Tofautisha uadua na ushindani Wale ni washindani sio maadui Click to expand... Uadui ni kimichezo tu na si lugha ngeni kati ya vilabu hivi viwili labda kama umeanza kushabikia hizi timu enzi za Mayele, walioshitaki hawana hoja zaidi ya kutaka kubalance matukio tu na mchecheto wa tarehe 8 March.