Mtoto wa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibari amelipuka na madai kuwa Dr Hussein Mwinyi Raisi wa Zanzibari na CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote Zanzibari tangu uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa Tanzania.
Ally Karume ni mtu mkubwa kwa siasa za Zanzibar na Tanazania kwa ujumla na ni mwana CCM mkongwe lakin kauli yake itaibua mijadala mizito juu ya siasa za Tanzania na CCM kwa undani wake. Kauli ya Ally Karume inaweza kutafisiliwa kuwa na shambulio la moja kwa moja kwa Raisi wa Zanzibar kuwa hana uhalali wa nafasi anayoikalia kwa sasa.
Kuna wakati Mwana CCM Dr. bashiru alipinga kauli ya Mama anaupiga mwingi wakati nchi ilikuwa inakabiliwa na bei juu ya mzao ya chakula kuwahi kurekodiwa hapa nchini na alishambuliwa na CCM kwa ujumla wake
Swali ni je, kuna mwana CCM anaweza kumshambulia ALLY karume kwa kauli yake ya udhalilishaji juu ya Raisi wa Zanzibar?
Au kuna makundi CCM hayaguswi au ALLY karume ni mjumbe tu wa yale yanayozungumzwa nyuma ya pazia kuwa Dr. Mwinyi Sio chaguo la mama na ni tishio kubwa kwake na lile kundi pendwa kwa sasa?
Lusinde na msukuma tutalajie watatoa kauli nzito juu ya udhalilishaji aliofanyiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Raisi wa Zanzibari na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi?
Je, kauli ya Ally Karume ingetolewa na MTANGANYIKA juu ya mama, Mtanganyika huyo angepona kweli?
Nini hatima ya Tanzania kwa siasa za namna hii?