Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

Kauli ya Bill Gates inavyo beba kampeni ya Likud kutoa watoto Ems. Kuwarudisha Kayumba

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu..

Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS?

LIKUD atakuwa mchawi au nabii
 

Attachments

  • Screenshot_20250404-152302.jpg
    Screenshot_20250404-152302.jpg
    276.8 KB · Views: 31
  • Screenshot_20250404-152302.jpg
    Screenshot_20250404-152302.jpg
    276.8 KB · Views: 29
AI haitareplace madktari wala manurse,
Haitareplace ma engeneer wanaoshinda site,
Haitareplace wanajeshi wala polisi,

Kikubwa itarahisisha kazi ila haitafuta kazu
 
Bill Gates anasema miaka michache inayo kuja, Akili Mnemba ita wa replace binadamu kwenye kazi nyingi Sana ikiwemo udaktari na ualimu..

Duh kumbe ndio maana LIKUD anasema tusipoteze hela EMS?

LIKUD atakuwa mchawi au nabii
AI itareplace baadhi ya kazi ila itatengeneza ajira zingine.
Mfano kabla ya computer ya kisasa kugunduliwa kazi ya ukarani ilikuwa dili kwasababu watu walikuwa wanatumia typewriter na kuhifadhi kumbukumbu kwenye makaratasi yao baada ya computer kazi ya ukarani sio dili tena ila computer imetengeneza ajira mpya kama IT, Software engineer, Graphics and Design etc.

Vivyohivo AI itareplace baadhi ya kazi ila itatengeneza ajira zingine mfano AI programmer na kazi zingine miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom