Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

Ni mtu mwenye ya hovyo ndiyo huwezi kumteua mtu km Bashiru kwenye nafasi kubwa km ile
 
Kweli kabisa 👍
 
Kweli kabisa
Why Now ?
It's a perfect time.
 
Kwanini asiulize ? Inaonekana hakuwa anajali na uenda alikuwa anasali kila siku ili jamaa akate moto
 
Hueleweki
 
Waliokataa Samia kuchukua nchi mpaka sasa naona walikuwa sahihi 100% maana hali ya maisha ya Wananchi kitaa siyo poa kabisa!
 
Naulizatu kwa mfano, Inakuaje bosi wako akiumwa na asitake ushiriki katika matibabu yake?
Utaanza kumuendea na katiba kwamba kuwa karibu nae nitakwa la kikatiba?
Mbona naona kitu kipo wazi hapo
 
Mkuu,

Shukurani kwa hii video ya Ansbert Ngurumo.

Mimi nilisema awali hizi stories za Mabeyo si kuhusu kifo cha Magufuli zaidi ya kuhusu urais wa Samia. Nafurahi kuona Ngurumo kaligusia hili pia.

Kuhusu kifo cha Magufuli Jasusi Chahali alituambia Magufuli kafariki tangu tarehe 12. Kama Chahali kasema kweli, Mabeyo kadanganya mpaka tarehe ya kifo.

Kama Chahali yuko sawa, kwa wiki nzima kuanzia March 12 mpaka March 19 2021, Tanzania haikuwa na Rais.

Na Mabeyo hawezi kusema lolote bila kupata go ahead ya Samia.

Ngurumo kasema hili pia.
 
Of course chochote alichosema Mabeyo na atakachosema ni go ahead ya samia
 
Upumbavu mtupu! Kuanzia Magufuli, Samia, Mabeyo on down!

1. Samia wakati anatangaza, alikuwa emotional. Ilikuwa inasikika hata kwenye sauti yake, achilia mbali sura yake ya majonzi!

2. Je, Samia alikuwa anajifanyisha tu kuwa anasikitika ilhali moyoni ana furaha?

3. Mabeyo naye maelezo yake yana mapungufu mengi tu na yamezua maswali kibao.

4. Sasa haijulikani hata ukweli ni upi hasa. Nani aaminiwe kwa maneno yake? Tuwaamini Team Samia?

5. Ni mambo ya ajabu kweli nchi inavyoendeshwa. Kila kitu kinafanywa siri hata pasipo na ulazima.

6. Mimi siwaamini wote. Tena na vile Magufuli hayupo naye kusimulia upande, waliobaki siwaamini masimulizi yao. Kila simulizi yao inavutia upande wao tu.

Banana republic stuff.
 
Dotto James ndio alijiapiza kufadhili mkakati huo, Polepole alikiwa anachombeza kwa nguvu zote, Katibu wa vikao hivyo alikuwa Bashiru Ally, mtafasiri wa katiba ili waone kama itapinda ni Kabudi, kila mara anaitwa huku na kule, Kalemani sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…