Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

Wewe na mwanakijiji mliahidiwa vyeo na jpm, kabla hamjavipata, akafa
 
Wewe na mwanakijiji mliahidiwa vyeo na jpm, kabla hamjavipata, akafa
Mwanakijiji seems like atakufa na presha ya kutawaliwa na asiempenda. Kutwa kuandika thread za kupingana na serikali ya raisi Samia. Ila wenye akili wanampuuza πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„
 
Dotto James ndio alijiapiza kufadhili mkakati huo, Polepole alikiwa anachombeza kwa nguvu zote, Katibu wa vikao hivyo alikuwa Bashiru Ally, mtafasiri wa katiba ili waone kama itapinda ni Kabudi, kila mara anaitwa huku na kule, Kalemani sasa....
Dah aisee ulichoandika kinakaribiana na uhalisia wa kilichotokea.

One tutajua kila kilichojiri huko kikaoni.
 
Hii itakuwa igp hakutaka samia awe na rais
Na mimi nimegundua alikuwa sawa shida katiba

Lakini ukweli hafai kabisa, asante cdf
Inaonekana umeandika hii comment yako kwa kufuata upepo wa watu wengi waliotangulia kuandika kabla yako. Ila nafsi inakusuta.

Pole sana..
 
Nashukuru kwa maelezo ya Mabeyo kuhusu nyakati za mwisho za mpendwa wetu JPM, RIP. Nimepata mwanga kidogo japo chanzo cha kifo kwangu ni giza.
Giza kivipi na wakati ashasema alikufa akiwa hospital kwa ugonjwa na siku zake zilifika. Ina maana ulitarajia hawezi kufa kwa ugonjwa kama walivyokufa wagonjwa wengine?
 
hili jambo linashangaza sana
 
Mpumbavu ni yule aliyekuwa hospital akaomba arudishwe kijijini kwao chato akaganguliwe.....MUNGU alishayaamua haya mambo kwa haki tuchape kazi chini ya Rais SAMIA
 
Kazi ya kutoa taarifa haikuwa ya CDF.
Kuna watu hawakutekeleza majukumu yao kikatiba na kisheria, labda kwa kutokujua au kuzuiwa kimazingira. Mabeyo anastahili pongezi kwa kufill power vacuum kijeshi (take charge).
 
Ana usomi Gani. Nani mwanajeshi msomi. Mi navyojua wanajeshi wote ama Wana zero au four ya form four au 1.8 gpa ya chuo kikuu. Jeshi ni alternative baada ya kila kitu kushindikana kama ilivyo ualimu
 
Ana usomi Gani. Nani mwanajeshi msomi. Mi navyojua wanajeshi wote ama Wana zero au four ya form four au 1.8 gpa ya chuo kikuu. Jeshi ni alternative baada ya kila kitu kushindikana kama ilivyo ualimu
Acha dharau kwa jeshi letu mkuu. Wasomi wapo kibao, ila wameamua kujitoa ili kuilinda na kuipigania nchi.

Hata hao walimu unaosema kuwa sio wasomi, ndio waliwafikisha hao wasomi hapo walipo. Ni sawa na mtu kuwa mrefu kumshinda mama yako au baba yako, alafu ujione kuwa wewe ndio mkubwa kushinda wao kwa sababu ya urefu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…