Upumbavu mtupu! Kuanzia Magufuli, Samia, Mabeyo on down!
1. Samia wakati anatangaza, alikuwa emotional. Ilikuwa inasikika hata kwenye sauti yake, achilia mbali sura yake ya majonzi!
2. Je, Samia alikuwa anajifanyisha tu kuwa anasikitika ilhali moyoni ana furaha?
3. Mabeyo naye maelezo yake yana mapungufu mengi tu na yamezua maswali kibao.
4. Sasa haijulikani hata ukweli ni upi hasa. Nani aaminiwe kwa maneno yake? Tuwaamini Team Samia?
5. Ni mambo ya ajabu kweli nchi inavyoendeshwa. Kila kitu kinafanywa siri hata pasipo na ulazima.
6. Mimi siwaamini wote. Tena na vile Magufuli hayupo naye kusimulia upande, waliobaki siwaamini masimulizi yao. Kila simulizi yao inavutia upande wao tu.
Banana republic stuff.