plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
Kama ndio hivyo basi chuo kikuu una fundishwa taaluma mama mpika vitumbua naye kasoma food production mpaka chuo kikuu kila ukionacho hapa duniani kina digrii yake jua hivyo katika maisha yakoPointi yangu ninkwamba:- Veta mkaaanga vitumbua kamwe hawezi kuheshimika kuliko mhitmu wa chuo kikuu hata awe hana kazi