Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

Pointi yangu ninkwamba:- Veta mkaaanga vitumbua kamwe hawezi kuheshimika kuliko mhitmu wa chuo kikuu hata awe hana kazi
Kama ndio hivyo basi chuo kikuu una fundishwa taaluma mama mpika vitumbua naye kasoma food production mpaka chuo kikuu kila ukionacho hapa duniani kina digrii yake jua hivyo katika maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…