ANCIENT FROM EGYPT
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 927
- 1,136
Enheeeee hapo sawa.. Ila umenivunja mbavu.Labda anazungumzia karanga zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enheeeee hapo sawa.. Ila umenivunja mbavu.Labda anazungumzia karanga zake
Anaongea from experience inaelekea kabla hajadaka ela na ustar walikuwa wanamtosa ila toka azidake hata waliomtukana wanamliliadiamond anaonesha anawadharau sana wanawake wote.. anawaona after money ndio maana amemwambia anamtafutia hela ili awe anawapiga tu kwa urahisi
Anaongea from experience inaelekea kabla hajadaka ela na ustar walikuwa wanamtosa ila toka azidake hata waliomtukana wanamlilia
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]Labda anazungumzia karanga zake
Laiti kama angekuwa ni mtt wake wa damu asingeweza kuandika utumbo kama huo, shortly nimepata ukakasi wa mzazi wa huyu dogo
Kila akivuta picha kina mobeto wanavyojishughulisha kitandani fikra inamkata stimu kumuona bimkubwa (hana ndoa) akiwa na ushahidi wa kujishughulisha kunako 6x6xusingizi nyororoooDiamond yuko sahihi kabisa. Unategemea nini kwa mzinzifu kama Diamond? Elimu yake, upeo wake wa kufikiri na maisha yake ndio ushauri atakaotoa kwa wanawe. Isitoshe kachanganyikiwa maana anategemea kupata mdogo wake hivi karibuni.
Kila akivuta picha kina mobeto wanavyojishughulisha kitandani fikra inamkata stimu kumuona bimkubwa (hana ndoa) akiwa na ushahidi wa kujishughulisha kunako 6x6xusingizi nyororooo
Hicho sio kigezo ht kwa yule wa kike aliandika ujinga,watu wakamsema sana, kwahiyo na tiffa si mwanae!? Ujinga tu unamsumbua lkn kuwa si mtt wake siyo sbb!Laiti kama angekuwa ni mtt wake wa damu asingeweza kuandika utumbo kama huo, shortly nimepata ukakasi wa mzazi wa huyu dogo
Watu wameshajituma kisawsawa!Uwiii.... bimkubwa ana kiben10, lazima aropoke ropoke tu! ha ha haaaa kaaaaz kwelllllll
Hicho sio kigezo ht kwa yule wa kike aliandika ujinga,watu wakamsema sana, kwahiyo na tiffa si mwanae!? Ujinga tu unamsumbua lkn kuwa si mtt wake siyo sbb!