Kauli ya Diamond kwa mtoto wake Nillan kwa kutimiza mwaka mmoja

Kauli ya Diamond kwa mtoto wake Nillan kwa kutimiza mwaka mmoja

Mbona asemi kuwa anamtafutia hela tiffah ili aje awahonge kina kiba junior wamtembezee moto huku wakila hela ya baba yake
 
Mama yake keshatembezewa kitu kimejibu!

Kwaaamba hawakutumia kondom!

Kazi kwenu waandishi muulizeni huyu mama walipima afya zao?
 
diamond anaonesha anawadharau sana wanawake wote.. anawaona after money ndio maana amemwambia anamtafutia hela ili awe anawapiga tu kwa urahisi
 
Huyu jamaa japo uwa namkubari kwa hustles zake na maono yake hasa kujiamini na ku dare fanya ambavyo wengine walishindwa fanya, ila sometimes uwa anaandika pumba mpaka nashangaa.
Siwezi sema kuwa tatizo ni elimu mbona naskia Bakhresa hakusoma sana ila hanaga matambo wala nini
 
Diamond yuko sahihi kabisa. Unategemea nini kwa mzinzifu kama Diamond? Elimu yake, upeo wake wa kufikiri na maisha yake ndio ushauri atakaotoa kwa wanawe. Isitoshe kachanganyikiwa maana anategemea kupata mdogo wake hivi karibuni.
 
na huo ni ukweli,, kipindi cha kitaa nimekula sana vibuti.. kupata kamchongo tu na ka usafiri na kageto ukigusa tu unakuta wanajaa... wanawake wanajidhalilisha wenyewe sometimes

Anaongea from experience inaelekea kabla hajadaka ela na ustar walikuwa wanamtosa ila toka azidake hata waliomtukana wanamlilia
 
Sishangai sana, kwani kuna uzi humu jukwaani unaoelezea kuwa mama Diamond amekiri kuwa ana ujauzito. So mama anatembezewa mkulenge, mtoto anatembeza mkulenge, na wajukuu nao wanaandaliwa mazingira ya kuja kutembezewa/kutembeza mkulenge..
 
Diamond yuko sahihi kabisa. Unategemea nini kwa mzinzifu kama Diamond? Elimu yake, upeo wake wa kufikiri na maisha yake ndio ushauri atakaotoa kwa wanawe. Isitoshe kachanganyikiwa maana anategemea kupata mdogo wake hivi karibuni.
Kila akivuta picha kina mobeto wanavyojishughulisha kitandani fikra inamkata stimu kumuona bimkubwa (hana ndoa) akiwa na ushahidi wa kujishughulisha kunako 6x6xusingizi nyororooo
 
Kila akivuta picha kina mobeto wanavyojishughulisha kitandani fikra inamkata stimu kumuona bimkubwa (hana ndoa) akiwa na ushahidi wa kujishughulisha kunako 6x6xusingizi nyororooo

Uwiii.... bimkubwa ana kiben10, lazima aropoke ropoke tu! ha ha haaaa kaaaaz kwelllllll
 
Wala sio ngeni. Birthday ya tiffa dai aliandika ujumbe tata na watu walilalamika sana na hakujali.

Dai anapenda kiki ndo maana hakutoa wishes mapema ila kudaka attention kubwa ya wambea na wala ubuyu wa kwann hajam wish nillan,kaja kuzima maneno kwa sentensi tata.
 
Laiti kama angekuwa ni mtt wake wa damu asingeweza kuandika utumbo kama huo, shortly nimepata ukakasi wa mzazi wa huyu dogo
Hicho sio kigezo ht kwa yule wa kike aliandika ujinga,watu wakamsema sana, kwahiyo na tiffa si mwanae!? Ujinga tu unamsumbua lkn kuwa si mtt wake siyo sbb!
 
Baadhi ya watu wanalazimisha nillan asiwe mtoto wa dai sijui wanapata faida gani. Kila kitu afanyacho dai kwa nillan wao inawauma kweli utadhan wana undugu na dai kusema kuwa nillan anawazibia urithi
Hicho sio kigezo ht kwa yule wa kike aliandika ujinga,watu wakamsema sana, kwahiyo na tiffa si mwanae!? Ujinga tu unamsumbua lkn kuwa si mtt wake siyo sbb!
 
Back
Top Bottom