Kauli ya Diamond kwa mtoto wake Nillan kwa kutimiza mwaka mmoja

Tatizooooo ana uwezoo mdogo wa kufikiriiiiiiii
 
Diamond yuko sahihi kabisa. Unategemea nini kwa mzinzifu kama Diamond? Elimu yake, upeo wake wa kufikiri na maisha yake ndio ushauri atakaotoa kwa wanawe. Isitoshe kachanganyikiwa maana anategemea kupata mdogo wake hivi karibuni.

Hahaha !!! We si mtu mzuri kabisa umenifanya nicheke bila kupenda hahaha
 
He does not mean what you think..
 
Ask him...
Hope you know what does he mean that's why you are criticizing the post, so may you tell us what does he mean?
 
Watu wameshajituma kisawsawa!
Aibu yake nachibu.

Nasubiri nione atakavyompokea mdogo wake! he he heeee mama yuko leba, mkeo yuko leba.... utaaenda muona nani kwanza?
 
Mama yake anatembezewa tu na kiben 10 chake na inasemekana anamimba diamond ajiandae kupata Mdogo wake!
 
Huyu Dogo kweli Mwezi Mchanga.., Wenzake wakipata na Yule Bibi yake mtafuta Kiki asiejielewa asije kutoa Mapovu tu!
 
Nasubiri nione atakavyompokea mdogo wake! he he heeee mama yuko leba, mkeo yuko leba.... utaaenda muona nani kwanza?
Mkunga anakuwa Alikiba hapo nachibu atajibeba.
 
Hii jamii bure kabisa.
Wanasema kosa mali upate Elimu
Shida kutokukaa darasani kunasumbua sana hili kundi kuanzia madale mpaka bondeni wote ni ovyo sana 'illiterate inahuuuu...
 
Kweli Leo ndo nimeamini huyu mtoto sio wake, mbona kwa tiffah hakusema" kuwa mama uje udinywe vizuri watoto wasio na baba ntakulelea"
Tifa alimwambie asikitembeze sana ila alifuta post
 
Akiwa bwabwa je?atakitembezaje, au atahonga ili apumuliwe kisogoni.
 
Watanzania mtakuwa Wajinga mpaka lini..!??? Hivi hamjui kuwa huwa anafanya vilee kuget attention tu maana wengine Insta ndo kazini sasa anawapa ubuyuu mpate kaziii.. Yeye aliandika vilee na Crew yake kina kifesi wakaandika tofauti na Kumkosoaa mond wew huoni mnafanywa nyiee maboyaa kukaa kulalamika juu ya maisha yake...
 
Anajisahau kua ana mtoto wa kike!
 
Hii jamii bure kabisa.
Wanasema kosa mali upate Elimu
Shida kutokukaa darasani kunasumbua sana hili kundi kuanzia madale mpaka bondeni wote ni ovyo sana 'illiterate inahuuuu...
Sasa hapo masuala ya elimu yanahusika vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…