choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
Mkuu Siku hizi nashangaa mzazi anahamasisha mwanae afanye zinaa! Anasahau na yeye ana mtoto wa kike
Mkuu unashangaa nini wakati baba mtu ni zao la zinaa pia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Siku hizi nashangaa mzazi anahamasisha mwanae afanye zinaa! Anasahau na yeye ana mtoto wa kike
Unafikiri ni kama wako.. eeeeh
Diamond yuko sahihi kabisa. Unategemea nini kwa mzinzifu kama Diamond? Elimu yake, upeo wake wa kufikiri na maisha yake ndio ushauri atakaotoa kwa wanawe. Isitoshe kachanganyikiwa maana anategemea kupata mdogo wake hivi karibuni.
Ask him...What does he mean?
Watu wameshajituma kisawsawa!
Aibu yake nachibu.
Mkunga anakuwa Alikiba hapo nachibu atajibeba.Nasubiri nione atakavyompokea mdogo wake! he he heeee mama yuko leba, mkeo yuko leba.... utaaenda muona nani kwanza?
Tifa alimwambie asikitembeze sana ila alifuta postKweli Leo ndo nimeamini huyu mtoto sio wake, mbona kwa tiffah hakusema" kuwa mama uje udinywe vizuri watoto wasio na baba ntakulelea"
Yeye mwenyew mtt wa ZinaaMkuu Siku hizi nashangaa mzazi anahamasisha mwanae afanye zinaa! Anasahau na yeye ana mtoto wa kike
Sasa hapo masuala ya elimu yanahusika vp?Hii jamii bure kabisa.
Wanasema kosa mali upate Elimu
Shida kutokukaa darasani kunasumbua sana hili kundi kuanzia madale mpaka bondeni wote ni ovyo sana 'illiterate inahuuuu...