Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Na kwenye birthday ya tiffa nae ampe ujumbe huo huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anazungumzia karanga zake
Mungu amnusuru! kwa kizazi chenyewe hiki mtoto wa kike ni afadhali kuliko wa kiume maana kule utapata mjukuu lakini huyu wa kiume mara nae anakuambia nae "kaolewa"achunge sana hasije kuanza na Tifa
Ha ha haaa!Kweli Leo ndo nimeamini huyu mtoto sio wake, mbona kwa tiffah hakusema" kuwa mama uje udinywe vizuri watoto wasio na baba ntakulelea"