Kauli ya 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia' ndio inafanya wanawake kuuawa kwa wingi

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Binafsi huwa napinga vikali hii tabia/ upumbavu wa kusema mke akiwa na milioni Moja halafu mume ana laki Tano basi familia ina laki Tano, yaani mwanamke atatumia pesa zake atakavyo.

Na nionavyo, kama hii dhana itaendelea kuwa vichwani mwa watu, basi wanawake wengi zaidi watakula za vichwa.

Haya, endeleeni kuamini hayo maandiko yenu yanoyosema hivyo.
 
Hivi mwanamke kama huyu akiuliwa watalalamika?
Screenshot_20261008-142138~2.jpg
 
Sheria zetu kipengele Cha watu kuwa kwenye mahusiano na ndoa ila Kila mtu atafute Mali yake.

Kama ilivyo fanya china, ili mwanamke akitaka kuondoka au kuachana aondoke na chake alichochuma kwa jasho lake.

Hii itaondoa pia kundi la wanaume wenye lengo la kuwanyonga wanawake wenye ukwasi.

Jamii iache janjajanja
 
Kabisa.
 
Binafsi huwa napinga vikali hii tabia/ upumbavu wa kusema mke akiwa na milioni Moja halafu mume ana laki Tano basi familia ina laki Tano, yaani mwanamke atatumia pesa zake atakavyo.

Na nionavyo, kama hii dhana itaendelea kuwa vichwani mwa watu, basi wanawake wengi zaidi watakula za vichwa.

Haya, endeleeni kuamini hayo maandiko yenu yanoyosema hivyo.
Kuna misemo huwa ialetwa a watu fulani wenye vipato vyao vya kuchezea au visivyo na kazi au maelezo kwa lengo la kuharibu mifumo ya kifamilia.
Kusema “hela ya Mwanamke ni ya mwanamke” ni kweli kama aliingia kwenye familia akiwa nayo tayari, nje ya hapo kipato chochote ni mali ya familia.
 
Isivyobahati watu wanachukua ile misemo kama ilivyo. Jamaa mmoja kanisani kwao alifundushwa kuwa mwanamke ni pambo au ya la nyumbani na kwamba alitunze tu.

Sasa hivi jamaa anapiga kazi masala mengi bila kupzika (kwa ajili ya kufurahisha ua lake) huku ya lake kule nyumbani likiingia wanaume wengine. Inauma sana!
 
Kipato cha mwanamke ni cha mwanamke, kipato cha mwanaume ni cha familia, tukiachana mahakama inataka mali zigawanywe kwa wote.

Ukiikubali hiyo kauli wewe ni poyoyo wa kutupwa.
 
Wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama viumbe fulani wasiojiweza, wadhaifu mno.
 
Back
Top Bottom