Kauli ya 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia' ndio inafanya wanawake kuuawa kwa wingi

Kauli ya 'hela ya mwanamke ni ya mwanamke, ya mwanaume ni ya familia' ndio inafanya wanawake kuuawa kwa wingi

Ukitaka kujua wanawake namna wanavyochukulia ndoa na mahusiano. Wavizie wapo wenyewe wakiongea mada za ndoa na mahusiano, au fanya ujanja usikilize maongezi yao bila wao kujua.
Wanawake ni mabingwa wa kujazana vitu na kushauriana ujinga. Utasikia mimi mshahara wangu hapati, hali hata mia. Basi wanasapotiana hapo.
 
Dah! Haya yote yamesababishwa na jamii zetu. Ukishamzoesha mtu kitu inakuwa vigumu kumrudisha kwenye njia mkuu.
 
Rudi alfajiri kama mwenzio ufumue na kwenda kituoni sasa kesho usiniletee mbege niambie hela umeenda nayo hospital
 
Binafsi huwa napinga vikali hii tabia/ upumbavu wa kusema mke akiwa na milioni Moja halafu mume ana laki Tano basi familia ina laki Tano, yaani mwanamke atatumia pesa zake atakavyo.

Na nionavyo, kama hii dhana itaendelea kuwa vichwani mwa watu, basi wanawake wengi zaidi watakula za vichwa.

Haya, endeleeni kuamini hayo maandiko yenu yanoyosema hivyo.
Ni dhana potofu inayopigiwa chapuo na wanawake malaya, wajasiria K
 
Mashambulizi ni makali sasa kutoka kila upande.

Kila upande unarusha makombora kwa kasi sana kwenda kwa mwenzake.

Natafuta Ajira njoo uongeze mashambulizi upande wa kikeni.

Jadda njoo uongeze mashambulizi upande wa kiumeni.

Huu mtanange umekuwa wa moto sana!

😂
Mkuu inaonekana unafurahia sana kuona Watu wakipopoana mawe humu kwenye hizi mada 😅😅
 
Back
Top Bottom