Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Si wanajitambulisha kwenye Space za wanaharakati kwani ni siri mkuu?
ni aibu sana. Jaji mkuu anahukumu kesi bado inaendelea. Hii ni wazi hata mshtakiwa akionewa akakata rufaa jaji mkuu tayari atakuwa ameshaamua kabla ya rufaa.....ameshusha credibility yake kabisa.

Tangu enzi za mzee nyalali, hatukuwahi kusikia jaji mkuu akiongea hivi kususiana na kesi iliyo mahakama yo yote ile.
 
L nyinyi si mnasema mnaakili sana kuliko CCM sasa mbona mmeshindwa kuiondoa madarakani na akili zenu??

Ccm iko kwa madarakani kutokana na hii katiba inayompa nguvu mwenyekiti wa CCM kuagiza vyombo vya dola kupora uchaguzi. Kwa taarifa yako siku za CCM zinahesabika.
 
wafuasi wa mboe /chadema ndio watukutu wasio heshimu Majaji/mahakama.
mara zote wamekuwa wakitoa lugha za matusi, kashfa na kejeli kwa Majaji na mahakama kwa ujumla.

hii tabia ya wafuasi wa mboe isipo dhibitiwa ni hatari sana kwa ustawi wa vyombo vya kutoa Haki.

yaani wafuasi wa mboe wanataka kuviendesha vyombo vifanye jinsi wanavyo taka wao na vinapo amua kinyume cha matarajio yao basi hapo wataanza kuporomosha matusi, kashfa, dhiaka na kejeli, hayo yote tumeyashuhudia ktk kesi inayo endelea ya mzee mboe.
 
Athubutu kunigusa aone,matunda y'a Last 5years ndo haya.

Mpaka naona aibu mimi. Bado hawaamin magu futi sita anainjoy wilayani kule !
daaaaaaaaah !.
Viatu vinawapwaya.
Dereva simamisha gars nishuke.
 
Kama haupo kwenye hii taaluma hauwezi kumuelewa Mkuu. Tuishie hapo tu.
Stop that, Hakuna concept ngumu mtu, a common reasonable man kushindwa kuelewa kwenye Sheria, unasoma, unaelewa, una google, unauliza unajua. stop saying that...
 
Asante mheshimiwa kwa kutukumbusha kwamba hakuna kitakachobaki kama kilivyo ipo siku

Luka 12:2​

Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.​

 
Asante mheshimiwa kwa kutukumbusha kwamba hakuna kitakachobaki kama kilivyo ipo siku

Luka 12:2​

Kila kilichofunikwa kitafunuliwa, kila kilichofichika kitafichuliwa.​

una maana gani au ni muendelezo wa vitisho vya huyo msambaa ?
 
Heshima ya mahakama imeshuka wakati wa kipindi chake huyu mkurya
 

Kama anawajua kama anavyotuaminisha kwanini asiwachukulie hatua hao waliochini ya mamlaka yake na badala yake anakuja kulalamika hadharani? It is high time Chief Justice apatikane kwa ushindani kama wafanyavyo majirani zetu na hapo tutakuwa na uhakika wa kumpata Jaji mkuu mahiri!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…