Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Ati wanaokosoa wanafahamika... dah!
Hataki kujua au kuelezea kwa nini wanasimangwa/sengenywa! Kwa nini wanakosolewa!?

Mtu akijamba kanisani kwa Gwajima, ushuzi wenye harufu kaaali, watu wataacha kuulizana huyo mjambaji "kala maharage ya wapi?"
Huyo Mlalamikaji na awazuie watu wake wasijambe mahakamani, hata kama ni "wasomi" wenzake. Nje ya hapo, wenye pua zenye kunusa lazima watasema na kuuliza aina ya maharage wanayokula huko mahakamani - binadamu tuko hivyo

Na wajue pia, pamoja na vitisho vyote, huwa inafika mahali binadamu atasema liwalo na liwe, wamechoshwa na harufu ya ushuzi wao hata kama ni ya wasomi... dah!

Na huo ndg zangu ndo utamu wa katiba tuliyo nayo ambapo wanalinda maslahi yao kwa ujumla na kusahau ya walalamikaji. DAWA NI KATIBA MPYA kuondoa aina hiyo ya maharage
 
Wote wanaofanya hivyo wanafahamika na kwamba siku zao zimekwisha .[emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji15]haya mambo kumbe bado yapo
Marehemu aliharibu sana taifa letu alifanya viongozi wote standard yao ya kufikili iwe ni ile ya Bashite( koromije)
 
Prof Juma nae anataka kupoteza watu ili iweje atafaidikaje ? Wataweza badili fikra ? Anapambana kivuli chake hataweza shame on you
 
Hii habari imeletwa na mwana JF, sijaona mahali popote CJ kalalamikia hao ndugu, kuna uwezekano mkubwa mleta uzi aliongeza chumvi kwa sababu zake mwenyewe kama wewe unavyo ongeza juu ya uteuzi wa majaji na CJ! Kila nchi ina utaratibu wake kwenye masuala ya nchi husika. Hakuna sababu ya kuiga ya jirani yako ikiwa yako unaona ni safi1 Au siyo!?
 
Eti siku zao zimekwisha, nonsense!
 

Je chief wewe unaona tunavyoteua majaji na Jaji mkuu ni safi? Mimi naona hakuna ubaya wakuiga wafanyavyo majirani kama utaratibu wao unaleta tija na kuwa bora kuliko wetu!
 
Je chief wewe unaona tunavyoteua majaji na Jaji mkuu ni safi? Mimi naona hakuna ubaya wakuiga wafanyavyo majirani kama utaratibu wao unaleta tija na kuwa bora kuliko wetu!
Nadhani hoja hapa ni UFANISI. Kama utaratibu wetu una ufanisi basi tuendelee nao na kama hauna ufanisi basi TUUBORESHE. Siyo suala la kuona fulani anafanyaje basi unaiga! Ni suala la kuchagua what fits and suits you better!
 

Nakubaliana naye. Utamaduni huu unaozidi kushamiri by the day ni hatari kubwa kwa utoaji wa haki. Mahakama zetu zinapaswa zifanye kazi bila shinikizo la mtu au mamlaka yeyote!
 
Nakubaliana naye. Utamaduni huu unaozidi kushamiri by the day ni hatari kubwa kwa utoaji wa haki. Mahakama zetu zinapaswa zifanye kazi bila shinikizo la mtu au mamlaka yeyote!
Usichokijua HAKI ni kitu cha wazi Kama mchezo wa mpira wa miguu tu. Usipofanya HAKI kila mtu anaona, na ukifanya HAKI pia kila mtu ataona. Ndiyo maana imeandika HAKI YAKE MWENYE HAKI ITAKUWA JUU YAKE. Kutisha kwake jaji Mkuu ni dalili ya wazi anajua kinachotendeka si haki. Anatetea Ushetani tu.
 

The fact that someone has done something unjust or dishonest is no justification for acting in a similar way!
 
It will take you a very long time to invent the wheel, you are better off using a better one in existence!!!
It is not a question of "inventing the wheel" but rather it is a question of seeing things in their REALITY rather than in their imaginary and unrealistic stances! Suala la "better" ni very situational, personal and private.
 
It is not a question of "inventing the wheel" but rather it is a question of seeing things in their REALITY rather than in their imaginary and unrealistic stances! Suala la "better" ni very situational, personal and private.

If something is operational and in existence , it cannot be " imaginary and unrealistic"! We are in that situation where '"better" is what we should opt for.
 
Hii ndio shida ya kuangalia vyeti badala ya uwezo.Wanahofia hata vivuli vyao.
 
Mungu mtu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…