IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 545
Anaonekana ana interest na KESI hiyo.Wadau wengi sana wamejitokeza kuhoji uadilifu wa Jaji anayeendesha kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu , kauli aliyoitoa Mahakamani iliyojaa uongo ya Kwamba Shahidi aliyekuwa anahojiwa na Mawakili wa Utetezi Mbele yake na mbele ya umati wa watu , komando Ling'wenya huenda alipewa majibu ya maswali aliyokuwa anaulizwa , imeleta Taharuki kubwa na imethibitisha mashaka ya siku nyingi kwamba huenda Jaji Tiganga yuko upande wa Jamhuri .
View attachment 2023342
Kama Rais mwenyewe aliingilia mahakama kupitia interview yake na BBC, wananchi wengine ni kitu gani?Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Wewe upimwe akili, hivi umejua hata mada inahusu nini!Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
mbona hili limesemwa sana. Lema aisisitiza kuwa Mbowe asijibu chochote, mpuuzi huyu aamue alivyotumwaHuyu anatakiwa kupimwa akili, sidhni kama ana akili timamu. Hivi pale kizimbani shahidi anapelekewa hayo mijibu ya maswali na nani ambaye watu wasimwone. Au ni mizimu yake huyo jaji, ambayo yeye pekee yake ana uwezo wa kuiona imekaa na shahidi kizimbani?
Mawakili, washaurini washtakiwa wamkatae jaji kwa vile wana mashaka kama ana akili timamu.
Ole wenu mchekao sasa maana siku yenu yaja mtalia na kusaga meno.Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
🤣Sidhani kama una akili timamu , na kwa kweli kuna haja sana ya JF kutumia ujasusi wake kutambua kama baadhi ya wachangiaji wake ni wazima kichwani au La
Ling'wenya anataka ATHIBITISHIWE kuwa aliwekwa mahabusu CENTRAL POLICE DSM kinyume na akataavyo yeye.....sasa aliandika barua kuhusu MO,ROASTER BOOK(Diary)......Hivi ni barua gan please, I have lost the truck
Mkuu samahani.....Kwanini shahidi afundishwe majibu?huu ndio ushamba wa kina Kibatala
anazani ni civil law legal systemKuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
Nakubaliana na wewe mkuu, kilichomchanganya jaji ni umakini na ufasaha wa shahidi, akashangaa Jamaa anayaelewa ma PGO kuliko KingaiMimi sidhani kwamba haamini, ninadhani kuwa shahidi katoa maelezo mazuri na kwa ufasaha hadi jaji akahisi kuwa anafundishwa majibu, inshort jaji alitamani Ling'wenya avurunde, ndio maana baada ya kuona majibu ni mazuri akaweka pingamizi.
usijisumbue kumjibu hyu mdada, ni kichwani mtupu ingawa simjui, but one can tell from her posts on JF!Mkuu samahani.....
Mawakili siku zote huwa wanawafundisha wateja wao kujibu kabla ya kwenda mahakamani....
Hoja iliyopo ,je shahidi wa leo alionekana akifundishwa pale kizimbani kwa kusikika maneno ,kwa kuwa na simu anasoma ama kipande cha karatasi anadesa?!!!🤣
Nadhani ameshangazwa na umakini wa shahidi mshitakiwa. Kama shahidi mashitakiwa kaamua kusema ukweli anaoujua yeye, ni lazima wenye hila wajiulize kwanini yuko na mtiririko huo!!
[emoji1787][emoji1787]Kuna muda jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
Mahaba yamemzidi ameshindwa kujizuiya.Shahidi atapewaje majibu na mtu mwingine akiwa kizambani halafu asionekane? Huyo Jaji ni mchawi ni nini? Anaona visivyoonekana!!
Mahakama si sehemu ya KISIASA/SIASA sasa hata tukiwa katika mrengo mmoja ni lazima tuambiane ukweli.....kwani YEYOTE anaweza kupelekwa pale....isipokuwa mh.Rais tu.....so kama mzalendo ni lazima TUILINDE MIHIMILI IUNDAYO Tanzania yetu pendwa.......usijisumbue kumjibu hyu mdada, ni kichwani mtupu ingawa simjui, but one can tell from her posts on JF!
Kwa akili hii ndiyo maana Prof. Assad aliwaita wabunge kwa lile jina.Kwanini shahidi afundishwe majibu?huu ndio ushamba wa kina Kibatala
Huyo jaji kizibo atakuwa hata huo ujaji aliupata kimagumashi kama wale madada wanaopata degree kwa kuvuliwa vyupi. So sadLeo Jaji kaongea hayo maneno! Je wanasheria kwa uelewa wenu hayo maneno yanaweza kuja kutumika kukatiwa rufaa au kwa sasa hivi kumkataa Jaji?