Sijui kwa waliokuwepo mahakamani labda watuambie ila kwa uelewa wangu mimi ni kama alikua anapiga kijembe kwa upande wa jamhuli ambao mashahidi wanao waleta wanajikoroga sana ila shahidi wa utetezi kaflow vizuri bila vifugumizi ndio jaji akapiga dongo hilo kama kuchombeza.Impartiality of a judge
It states that impartiality is essential to the proper exercise of the judicial office. Therefore a judge should make sure that his behaviour in court and in his private life maintains and enhances the public´s confidence in the impartiality of the judge and the judiciary. duties of his office...
Kulikuwa na mtu anampatia majibu huyo shahidi hapo mahakamani?Impartiality of a judge
It states that impartiality is essential to the proper exercise of the judicial office. Therefore a judge should make sure that his behaviour in court and in his private life maintains and enhances the public´s confidence in the impartiality of the judge and the judiciary. duties of his office...
Sasa kauli ya jana ya Tiganga unaisemaje? Waziwazi kuwa huyu anapewa majibu? ameonesha yuko biased vibaya sana. He must disqualify himself from the conduct of the caseMa judge ni watu wanaoheshimiwa sana na hawatakiwi kuwa na mazoea sana na watu wa nje mbali na familia na wafanya kazi wenzao.
Mahakamani huwa kuna canteens zina pandas chakula chao. Kuanzia chai asubuhi, mchana na evening tea. Nyumbani wanakua na housekeepers chef, chauffeured car etc.
Haya yote wanafanyiwa ili watoa hukumu ya haki na wasionekane kirahisi kuweka kupokea rushwa.
unaweza kudhani hivyo na hii nimeiona twita, lkn kwa mwenendo wake tangu amepokea kesi hii, ndiyo maana majority have raised concern!Sijui kwa waliokuwepo mahakamani labda watuambie ila kwa uelewa wangu mimi ni kama alikua anapiga kijembe kwa upande wa jamhuli ambao mashahidi wanao waleta wanajikoroga sana ila shahidi wa utetezi kaflow vizuri bila vifugumizi ndio jaji akapiga dongo hilo kama kuchombeza.
Ngoja tuendelee kufuatilia tuone nini kitafuta.Kuna jaji anajisahau anahisi kama nae ni mwanasheria wa serikali ivo anataka kuweka pingamizi
Jibu ni HAPANA haiwezekanije kwa mazingra ya kotini inawezekana kupewa majibu bila watu wengine kuona aone jaji tu?
Kwa upande huu wa shilingi, nakubaliana na wewe, ila hoja ya msingi Jaji hakupaswa kutamka.jamhuli ambao mashahidi wanao waleta wanajikoroga sana ila shahidi wa utetezi kaflow vizuri bila vifugumizi ndio jaji akapiga dongo hilo kama kuchombeza.
Si ndiye aliyesema hivi juzi, kwa ku'quote' msemo wa jaji maarufu wa Uingereza kwamba "Justice must not only be seen..." sijui ndiyo hivyo; lakini maana yake ikiwa kwamba yeye anasimamia sheria na haki.Impartiality of a judge
It states that impartiality is essential to the proper exercise of the judicial office. Therefore a judge should make sure that his behaviour in court and in his private life maintains and enhances the public´s confidence in the impartiality of the judge and the judiciary. duties of his office...
Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.
Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama
Apatiwe majibu ya nini wakati shahidi amefundishwa kwa theory na vitendo somo lake na akalielewa vizuri.Kulikuwa na mtu anampatia majibu huyo shahidi hapo mahakamani?
Wewe ni mpuuzi tuTofautisha block na ignore.
Hawa kina Mkaruka, kolola na wenzao hawakupaswa ku poke tena noses zao wasikotakikana.
View attachment 2023689
Cc: Jidu La Mabambasi
Watesi wa Mh Mbowe kwenye kesi hii wana jambo la kujifunza sana.Kwa ratiba ya Juzi Jana tulisikia atakuja shadhidi mwingine upande wa mashitaka na wote walitarajia hivyo,ghafla upepo ukachange na kuambiwa utetez wapandishe shahidi wao.
Duh sisi watz bwwna mtu akifanya vizui basi ni shida akikosra ni shidaKwa ratiba ya Juzi Jana tulisikia atakuja shadhidi mwingine upande wa mashitaka na wote walitarajia hivyo,ghafla upepo ukachange na kuambiwa utetez wapandishe shahidi wao...